ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,552
Sijui ni masikio yangu au ni vipi,nyimbo hii imepata umaarufu mkubwa ghafla na kumfanya msanii huyu awe chart ya juu,nimejiuizavkipi kilichoifanya nyimbo hii kua hot hasa kuanzia wiki mbili za mwisho wa 2016, any way wachambuzi wa burudani wasaidie hili
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app