Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nimekuwa nikimfutialia sana msanii huyu na kugundua kuwa ni miongoni mwa wasanii wenye kipaji kikubwa sana cha kuimba na kama ataendelea kufanya hivi basi hapo baadae huenda akaja kuwa miongoni...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
ALI KIBA NI KUTWA MARA TATU... Ukimfunika kukata mauno atakushinda kutunga. Ukimfunika umaarufu atakutesa kwa sauti. Ukimsumbua kuhonga media yeye atakuumiza kwa kutojisumbua na hizo media. Ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau kwema?? Asubuhi hii nimesikia remix ya wimbo "Utaoa Lini" wa Mwana-FA. Remix hii imefanywa na Mtangazaji Tupatupa wa Clouds TV ambapo yeye amezungumzia kuhusu timu ya Manchester United, kua...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
'Rings is a sequel, not a remake, nor a reboot'. Hitting theaters on October 28 USA. The first installment, directed by Gore Verbinski (the Pirates of the Caribbean films) and starring Naomi...
0 Reactions
1 Replies
781 Views
Mimi ni mpenzi wakuangalia movie za kibabe naomba unitajie hapa iliniweze kuzifuatilia
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii kitu huwa inanikuta nikiwa na stress napenda sana kusikiliza nyimbo ambazo sizielewi zinakuwa zinamaanisha nn ila beat and other things zikikaa poa kwa kicha zinanifanya kusikiliza that song...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Hii sasa ndio habari mupyaaa ya town yule kijana wa R'nB ameachia ngoma moja Kali xn kule you tube Kichupa kinaitwa "Phone" Sasa naona music wetu wa bongo umekua video sasa zinaenda na wakati...
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Nimeonelea wakuu ni lete huu uzi ili uwe special kwa wale wote ambao wanapenda nyimbo za kiarabu huu ni uzi wao maaluum; Njooni hapa tupeane mawili matatu kuhusu wanamziki hawa wa middle east...
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Harmo rapa nimechoka na kiki za kijinga athibishe kuwe yeye rapa mkali aache kiki go to hell Harmo rapa. Kila mtandao ukiingia harmo rapa kafanya hivi. Afu hana hata hit song au sikuhizi na...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Huyu bwana mdogo namkubali sana...tangu alipotoka tu na kile kitu 'sumu ya teja'... Sikiliza hii tena....hamna umagharibi hapo..big up Maembe. Mtembelee hapa na ununue kazi zake zaidi...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Wadau mnazikumbuka hadithi hizi enzi hizo zikituelimisha na pia kutupa burudani 1.MAENDELEO TILONDA 2.MUWA ULIOZAMISHA MELI 3.PETE YA MTEMI NDEMANGA 4.NANI ATAMFUNGA PAKA KENGELE 5.SIZITAKI...
0 Reactions
0 Replies
10K Views
Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, video ya Diamond Platnumz ya wimbo wake, Marry You aliomshirikisha Ne-Yo imetoka. Kwa mara ya kwanza video hii imewekwa kwenye channel ya Vevo ya staa huyo...
2 Reactions
25 Replies
12K Views
hii video siyo ya kimataifa ni video local sana kwakweli haijavutia ajipange
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wale wenye king'amuzi cha azam ebu chekini hii picha ya mwaka 2009 ni nzuri sana ni kati ya movie nazorudia ya bwana morgan freeman na antonio. Jamaa walikuwa wezi professional
0 Reactions
2 Replies
757 Views
'Amevaa kiminii, amevaa bodi sutuu oooh... amevaa suluali ya jeans sign ya versace, kapewa lift kwenye gari la kifahari, kalala kwenye hotel ya kifahari... mutoto kafikiria amefika Paris eeh...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sana mvua ilikuwa haijanyesha katika wilaya ya Bagamoyo, mkoa wa Pwani mazao ya watu wengi sana yalikuwa yamekufa mashambani, kulikuwa na dalili zote za kutokea kwa balaa la njaa...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Leo usiku huu ben paul yupo kwenye friday night live akitambulisha video yake mpya. Kwanza kaanza kwa kuomba msamaha kwa ile interview ya kwanza aliyoifanya na mtangazaji wa eatv moja ya jambo...
0 Reactions
0 Replies
670 Views
Kuna Project fulani inaendeshwa ya kuhifadhi nyimbo na midundo ya asili ya Africa ili isipotee. Nmeipenda sana. Hii project nadhani inaitwa The Tanzania Heritage project. Nawashauri hawa jamaa...
0 Reactions
0 Replies
996 Views
Habarini wana jf, natumai niwazima. Jamani nilipokuwa mdogo nilivutiwa sana na huyu mwanamuziki, niliishia tu kuzisikia nyimbo zake na nilimuona kama ni mtu wa tofati sana maana ni mwanamke...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tangu nianze kuwa mfuatiliaji wa muvi nzuri nimejikuta napendelea sana kutazama muvi za hollywood zenye ladha ya matukio ya wild west (muvi zinatoa simulizi zake kutokana na historia ya marekani...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…