Msaada; Namba 6 unang'oka lini? (utaoa lini remix)

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,636
29,511
Wadau kwema??

Asubuhi hii nimesikia remix ya wimbo "Utaoa Lini" wa Mwana-FA. Remix hii imefanywa na Mtangazaji Tupatupa wa Clouds TV ambapo yeye amezungumzia kuhusu timu ya Manchester United, kua itang'oka (itaondoka) lini kwenye position iliyoko ya 6.

Amejaribu kutiririka na mashairi au kistari mbalimbali akiigiza style ile ile ya wimbo wa Utaoa lini. Lakini yeye amezungumzia kuhusu timu ya Man U.

Kuna mwenye huu wibo anisaidie niuskilize vizuri?
 
njoo hapa mjengoni nikurushie kwa njia ya brutooth....
Mkuu serious nirushie humu kama unao. Mjengoni mbali aisee, mawasilano yamerahisishwa siku hizi, teknolojia imekua
 
Back
Top Bottom