poisson
Senior Member
- Jul 17, 2016
- 130
- 42
Harmo rapa nimechoka na kiki za kijinga athibishe kuwe yeye rapa mkali aache kiki go to hell Harmo rapa.
Kila mtandao ukiingia harmo rapa kafanya hivi. Afu hana hata hit song au sikuhizi na wapiga kiki nao ni marapa na ni nitakuwa rapa
NB: WENYE WIMBO WA HARMO RAPA TUJUDGE KAMA YEYE NI RAPA AU MANENO NA KIKI