Ben Pol aachia ngoma kali

Mauja

JF-Expert Member
Oct 2, 2014
508
275
Hii sasa ndio habari mupyaaa ya town yule kijana wa R'nB ameachia ngoma moja Kali xn kule you tube
Kichupa kinaitwa "Phone"
Sasa naona music wetu wa bongo umekua video sasa zinaenda na wakati imetulia mbaya dem mzuri hatareeee xn gari Kali video Kali hongera xn Ben nimekukubali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom