Wale wapenzi wanyimbo za kiarabu tukutane hapa,

Nyoka_mzee

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
3,695
5,522
Nimeonelea wakuu ni lete huu uzi ili uwe special kwa wale wote ambao wanapenda nyimbo za kiarabu huu ni uzi wao maaluum;
Njooni hapa tupeane mawili matatu kuhusu wanamziki hawa wa middle east na list ya wasanii au nyimbo unazozikubali

Binafsi hii ndio List ya wasanii naowakubali kwa sasa;
1.Tamir Hosny
2.Nancy Ajram
3.Amr Diab
4.Wael Jassar
5.Ellissa

Karibuni

download (1).jpg

images (4).jpg
 

Attachments

  • images (5).jpg
    images (5).jpg
    6 KB · Views: 282
  • images (6).jpg
    images (6).jpg
    8 KB · Views: 261
Back
Top Bottom