Mmea Jr
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 737
- 1,731
Nimekuwa nikimfutialia sana msanii huyu na kugundua kuwa ni miongoni mwa wasanii wenye kipaji kikubwa sana cha kuimba na kama ataendelea kufanya hivi basi hapo baadae huenda akaja kuwa miongoni mwa wasanii wa bongofleva wakubwa sana hapa tanzania.
Hizi ni miongoni mwa nyimbo za msanii huyu nilizotokea kuzipenda sana na kunifanya niwenamfuatilia kwa karibu sana.
1)ibra nation ft maua sama -hello(Adele reggae cover)
2)ibra nation -nilipize(nyimbo iliyomtambulisha vizuri sana katika game na kusumbua kwenye vituo mbalimbali vya redio)
3)ibra nation x maua sama-sukari guru(nyimbo Mpya) nyimbo iliyonifanya nimkubali huyu msanii kwa asilimia mia