Napenda nyimbo nisizozielewa nikiwa na msongo wa mawazo (stress), wewe je?

ze meck

Member
Feb 18, 2014
36
6
Hii kitu huwa inanikuta nikiwa na stress napenda sana kusikiliza nyimbo ambazo sizielewi zinakuwa zinamaanisha nn ila beat and other things zikikaa poa kwa kicha zinanifanya kusikiliza that song all day

Je wewe ukiwa na stress unafanyaje?
 
Back
Top Bottom