2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,226
- 4,919
Katika radio station zilizokuja juu kwa fujo ndani ya muda mfupi kupata wasikilizaji wengi ni wasafi fm. Hii ni kutokana na kupiga miziki mizuri na kipindi cha sports arena.
Baada ya kupendwa kipindi hicho wakaanza kuvuta watangazaji wengi toka vituo vingine hilo halikutosha sasa wameanza kuiga baadhi ya vipindi na matamasha na warsha mbalimbali.
Clouds fm kuna ndondo cup
Wasafi fm wameweka kivumbi cup
Clouds fm kuna malkia wa nguvu
Wasafi fm kuna super woman n.k
Ni ubunifu umewaishia au ndio wanataka kuangusha soko la clouds media?
Sent using Jamii Forums mobile app