Hongera Diamond kuandika na kutunga melody track kali ya superwoman, kwanini Nandy, Hide hawapo. Mdee, Klynn hawajatajwa why

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
838
1,358
Ni wimbo mzuri, Ila kwanini nandy, Mimi Mara, Vanessa hawapo. Halaf mbona hujamtaja halima mdee, esta bulaya , au Fatma karume hata Maria sarungi.

All in all hii ngoma Kali Sana, na vile umeandika mwenyewe hata clouds hawa
 
Wale sio wanawake wa dunia hii
 
Ni wimbo mzuri, Ila kwanini nandy, Mimi Mara, Vanessa hawapo. Halaf mbona hujamtaja halima mdee, esta bulaya , au Fatma karume hata Maria sarungi.

All in all hii ngoma Kali Sana, na vile umeandika mwenyewe hata clouds hawa

Kama Tabu Mtingita hayupo humu basi ni ubatili mtupu
 
They dont deserve to be there. Kwa kipi Nandy alicho kifanya kwenye Tanzania hii tuseme aache legacy? Au magumu gani yule dada aliyoyapitia hadi atajwe? Hata vanesa na k lynn ni sahihi kabisa kutotajwa. Labda shilole anastahili.
 
Ujaelewa ulichoandika nandy kasema ayupo kwenye kuimba mbona sio kutajwa.

Portfolio | 2020
 
They dont deserve to be there. Kwa kipi Nandy alicho kifanya kwenye Tanzania hii tuseme aache legacy? Au magumu gani yule dada aliyoyapitia hadi atajwe? Hata vanesa na k lynn ni sahihi kabisa kutotajwa. Labda shilole anastahili.
Kwa nini Shilole anastahili?
 
Back
Top Bottom