Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Natafuta muvie ya Sarafina ila ambayo ni ndefu( Extended). Maana hii ya sasa ni tofauti na niliyokuwa naangalia miaka ya 90. Iwe na kile kipande wanachoimba kanisani, pia kuna kile kipande jamaa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwanza naomba ni declare sina ubaya na huu wimbo wao wa #Gere bali najaribu kutoa maoni tuu ili kuboresha tasnia hii ya music. Inasikitisha sana wimbo wenye jina la kimwambao(Gere) kuwa na vionjo...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Hii inawahusu wale wanao fuatilia mziki wa rapp Kenya kuna rapper maarufu kabisa kwa jina la Khaligraph Jones. Lakin nimekuja kujua kuna Group flan lipo Kenya hawa jamaa wana jiita AFROCENTRIC ...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo nilikuwa nasikiliza wimbo wa Bongo Dar es Salaam wa Prof. Jay nikiwa nahusisha na hali ilivyo sasa na ilivyokuwa kipindi huu wimbo umetoka, I think ni early 2000's; vingi vinavyotajwa kwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I can do what I want, I'm in complete control That's what I tell myself I got a mind of my own, I'll be alright alone Don't need anybody else! I give myself a good talking to No more being a fool...
2 Reactions
5 Replies
917 Views
Wadau nataka ni download movie ya kihindi inaitwa chalte chalte 2003. Nimeshindwa kuipata, nimeambulia triler tu. Wadau Naomba msaada wa kujua ni website gani nitapata kudownload full movie ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna ngona moja hiv nasikia Sana mtaani na moja Kati ya mistari inasema hiv Naisikuibiwa,nachanganyikiwa nimechoka kusubili mbona utokei. alafu chorus yake ni "kaputa" sijui nitakuwa nipo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bondia asiyepigika Floyd Mayweather ametangaza niya yake ya kupambana na Khabib pamoja na Conor McGregor kwa siku moja ambapo amepanga kuanza kumtandika Khabibu mchana kisha kummaliza kabisa Conor...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau wa JF naomba nipate official website ambayo ntaweza kudownload movie ya CHALTE CHALTE 2003. mana nikijaribu kuutafuta napata triler. Naomba msaada kupata web official ya movie ya chalte...
0 Reactions
0 Replies
578 Views
Kwenye ule wimbo wa baddest 47, unaoimbwa hivi, sijui nikagongee nyagi au nikagongee veve,, sijui nikagongee banana au nikagongee yokozuna, anaejua maana ya kihuni ya yokozuna ni nn atuambie...
5 Reactions
51 Replies
12K Views
Nimekuwa muhanga wa kudownload series mzigo mzima halafu mwisho wa siku najilaumu baada ya kuona nilikosea kuchagua!Mara nyingi huwa nasoma tu short story ya series,itakayonipendeza naichukua...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Wapenzi wa series iliyovuma kipindi cha 2016-17 Homeland na mwana Dada Kerry Matson imerudi upya na kwakishindo kikubwa Soul Katekwa na talebani itafute.
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Utangulizi: Pengine umejaribu kuangalia series ya Game of Thrones lakini umeshindwa kuielewa kwa sababu mbalimbali. Hapa nakupa utangulizi wa baadhi ya mambo yaliyotokea katika dunia hii ya...
8 Reactions
21 Replies
7K Views
Only lengendary understand this seasons Ipi ilikukoshaa na hasa tukio gani huwezi lisahau. Changia tuone picha itabaki kuwa ni dhahabu. Only Lengendary wanazielewa hizo picha Naanza GOT John...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari zenu wakuuu...!!!ni hivi nilikuwa na shida moviee yeyote ya kibongo ambayo ni nzuri nicheki mda huu nimemiss movie za kibongo kwaiyo kama, Kuna yeyote anayejua jina la bongo movie nzuri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yani nipo sehemu napata upepo mara unapigwa wimbo wa Juma Kakere. Kama ni mfuatiliaji wa muziki wa dance utaujua. Sasa ni wimbo mtamu sana, tena wa siku nyingi. Najiuliza, kilichomfanya kuimba...
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Habar za muda huu ndugu wanajukwaa,naomba kwa yeyote mwenye nyimbo za waganda aziweke kwenye uzi huu! Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
2K Views
TAHADHARI!! Kama huna kichwa cha kuelewa na kuchambua mistari ya hiphop bora upite kushoto, hutakaa waelewa Fid Q na Joh milele. Asee nimesikiliza hii nyimbo zaidi ya mara 3 yani alivyozungumza...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Yani kuna ngoma kibao zimewekwa ndani WCB, lengo lao kutaka tu kupinzana na Konde Boy. Eti Rayvany Mr Nyegezi katoa ngoma 5 bada ya jeshi kutoa. Sasa Diamond anasubiri siku tu Harmo akitoa ngoma...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom