vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,599
Mimi nilikuwa mpenzi sana wa kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM. Lakini nina kama wiki sasa nimekuwa niki interchange kati ya Power Breakfast na Joto la Asubuhi cha EFM.
Na sasa naona navutiwa zaidi na Joto la Asubuhi kuliko PB, kiasi naona kama hawa jamaa wa EFM wakimchukua Barbara tu wameimaliza Power Breakfast but huu ni mtazamo wangu tu.
Hebu tujifurahishe kwa kupiga kura hapo kati ya vipindi hivi viwili. Mimi kuraa yangu naitupia kwa Joto la Asubuhi.
Karibuni.
NB:
Wewe kama una mambo ya msingi ya kufanya usiingie forum hii, baki huko huko mjadili sukari na kitwanga. Kuna vipuuzi huwa vinanikera sana vinakuja Celebrities Forum halafu vinataka watu wajadili Bunge live.
Anyways kura yako unaitupia wapi?