AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,649
- 4,756
Katika watangazi wa vipindi vya Kijamii vya mchana vya aina anayo endesha huyu biMAMA. huyu dada ni mpiga kelele kama alivyo MC PILIPILI kwenye Comedy.
Katika list yangu ya ubora wa hawa watangazaji. Mimi ninaanza na:
1. GEAH HABIIB
Huyu mama ametulizana. Hatumii nguvu kama wengine. Na wala si mchambaji chambaji kama Dida, anaongea kwa utaratibu, anaeleweka na unaenjoy show kama kawaida. Hapa Clouds walilamba Dume.
2. Dina Marios
Huyu dada ni msomi na ametulia vilevile. Anaendesha kipindi chake Kiproffessional.
3. Da Huu
Huyu nae ana ucheshi wake japo ni mzaramo ila unaenjoy show na sio kelele..
4. Mariam wa Migomba
5. Farhia Middle na wenzake wa redio 1.
Kwa wanaume kuna huyu mpiga kelele anayetumia nguvu kama Makirikiri. MAULID KITENGE.
Kwa vipindi vya michezo. Clouds wana huyu jamaa ALEX LUAMBANO. Ni mchochea mada na mzuri kwenye mahojiano.
Wengi mtakubaliana nami.