Mariam Migomba wa TBC1

Magane

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
202
57
Wana jf salaam alekum, moja ya waandaaji wa vipindi vya TBC1 ninayemuadmire ni Mariam Migomba. Dada huyu ninampa credit kwa jinsi anavyoendesha na kukimudu kile kipindi cha Taarabu. Mimi siyo mpenzi wa taarabu lakini huyu dada ananifanya nianze kuwa na positvie attitude towards taarabu music.Mwenye habari zaidi za dada huyu atujuze.
 
Habari gani zake unazozitaka?
 
Ungejua alichokifanya Singida mwishoni mwa mwaka jana kwenye onyesho la taarabu, labda ungekuwa na msimamo tofauti.
 
Kafanya nini kwani? Mbona mwanamama wa watu yuko vizuri tu. Hata mimi namkubali sana
 
wakawaida tu wapo watu wanafanuya mambo na jamii inawatambua,huyu labdamabingwa wa vigodoro ndo wanamjuani maoni yangu tu
 
Back
Top Bottom