Wasanii wa Bongo Movie wampongeza Paul Makonda kwa kuteuliwa kuwa RC Dar

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,866
image.jpeg

image.jpeg

image.jpeg

Ma-Star wa Bongo Movia wamemuangushia party ya nguvu Mkuu wa Mkoa mpya wa Dsm ndugu Paul Makonda baada ya kuteuliwa na kuapishwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dsm.

Party hiyo ilijumuisha mastaa kibao wa mjini wakiongozwa na STEVE NYERERE, RICHI RICHIE na JB
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    28.9 KB · Views: 86
  • image.jpeg
    image.jpeg
    28.1 KB · Views: 92
  • image.jpeg
    image.jpeg
    21.2 KB · Views: 85
  • image.jpeg
    image.jpeg
    24.9 KB · Views: 80
  • image.jpeg
    image.jpeg
    27.4 KB · Views: 128
Mh Makonda niliwahi kusema wewe ndio utafungua mlango kwa vijana kupata madaraka au kuendelea kuwa wazee madaraka kutokana na maadili yetu vijana.

Kuna sherehe zinaandaliwa na vikundi au watu ila tambua hilo ni tego. Na usipofunguka macho utajiaribia mwenyewe.

Waambie pesa wanachanga waziweke kwenye mfuko wa maendeleo ya jiji au wanunue vitanda kwa ajili ya wagonjwa wakuite kuvikabidhi.

Ukifanya hivyo umekivuka kiunzi na sote tumepona.

Asante
 
Makonda hakika kichaa anakubali kafanyiwa party na mizezeta movies
 
Mh Makonda niliwah kusema wewe ndio utafungua mlango kwa vijana kupata madaraka au kuendelea kuwa wazee madaraka kutokana na maadili yetu vijana.

Kunasherehe zina andaliwa na vikundi au watu ila tambua hilo ni tego. Nausipo funguka macho utajiaribia mwenyewe. Waambie pesa wanachanga waziweke kwenye mfuko wa maendeleo ya jiji au wanunue vitanda kwa ajil ya wagonjwa wakuite kuvikabidhi. Ukifanya hvyo umekivuka kiunzi na sote tumepona. Asante
Umeongea vizuri sana, naomba wanaopita hapa wamfahamishe.
 
Tabia ya kufanya sherehe kwa wale wanaochaguliwa na kuteuliwa kwa nafasi mbalimbali huwa inaleta taswira mbayakwa mhusika,

Makonda binafisi namkubali ni mbunifu na anawajari watu wake anaowaongoza, kwa hili siliungi nadhani haukuwa wakati wa kufanya sherehe kama ni kweli imefanyika.

hapa naona hawa wasanii wanataka kumchonganisha na wananchi.
 
Mh Makonda niliwah kusema wewe ndio utafungua mlango kwa vijana kupata madaraka au kuendelea kuwa wazee madaraka kutokana na maadili yetu vijana.

Kunasherehe zina andaliwa na vikundi au watu ila tambua hilo ni tego. Nausipo funguka macho utajiaribia mwenyewe. Waambie pesa wanachanga waziweke kwenye mfuko wa maendeleo ya jiji au wanunue vitanda kwa ajil ya wagonjwa wakuite kuvikabidhi. Ukifanya hvyo umekivuka kiunzi na sote tumepona. Asante

Pole kesha fanyiwa na alikwenda
 
kweli ilo ni tego inabidi awe makini sana mana watavunja sheria mwisho wa siku atawaonea aibu itakula kwake
 
Jamani sherehe ndogo kadiri ya uwezo wa kiuchumi ulivyo kuna shida gani? Starehe kidogo ni muhimu pia kwa ajili ya afya ya akili na mwili.
 
Back
Top Bottom