Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,639
siyo kweli mkuu unamsingizia yupo leaders jipange.
Eeeh wewe kazi za kufanya huna??,hadi kuchunguza fulani yupo wapi na anafanya nini?,mmh kazi kweli kweli,sasa wewe ulitaka afanyeje???
Uo umbea na ww diomond yupo leaders nimemuona na tang kwenye vikao vyote vya msiba yupo ayo ya wp sasa
Wako umezidi khaa,hadi unaboaa
Romy Jones alikuwa rafiki mkubwa
wa Ngwair. Kuanzia wanyama mpaka
radar entertainment lakini leo analishwa
bata na Diamond na
a Diamond huko fukwe moja ya
bahari wakati rafiki yake kipenzi bado hata hajapumzishwa
katika nyumba ya milele
source #mpekuzi #
mbona wapo leaders mda huu?
Duh yaani nilikuwa nakuonaga bonge la mjanja,ila kwa hyo comment yako ya umaarufu dah ngoja,ninyamaze tu
Vp tenaaaaa Heaven on earth!!!!!!!!!!
poa mamy......
ni vijimambo tuu
baba nanilii hajambo???
heri ya huyo hata alionekana
jide naye kaishia wapi.