MjuviKitambo
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 711
- 810
Katika pita pita zangu mitandaoni nimeona clip ya video ya diamond akiwa na familia yake sijui nchi gani, nilichopenda ni namna kijana anavyojitahidi kuwa karibu na mama yake, kutoka katika sakafu ya moyo wangu nimefurahishwa, nimeguswa sana na upendo huu wa kijana mwenzangu kwa mama yake! Mungu ambariki sana