Lulu afungukia mahusiano yake na DJ Majay

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,422
Mshindi wa tuzo ya AMVCA 2016, Elizabeth ‘Lulu’ Michael amefunguka na kuelezea mahusiano yake na CEO wa EFM, Dj Majay baada ya hivi karibuni kuonekana kuwa karibu zaidi.

1457789876793.jpg

Akizungumza katika kipindi cha Friday Night Live cha East Africa Television Ijumaa hii, Lulu alisema kama ni kweli yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na Majay basi mashabiki wake watasikia taarifa za ndoa.

“Ninaweza nikasema ndio wakati sio kweli na ninaweza kusema hapana wakati ni kweli, lakini kikubwa zaidi kimaadili ya kitanzania, kimaadili niliyofundishwa mimi, mchumba hatangazwi, ndoa ndiyo inatangazwa,” alisema Lulu.

Aliongeza, “Kama ni kweli ndoa itakuja na watu wataona, lakini siwezi kutangaza wakati bado hatuna mikakati ya ndani zaidi.”
 
Unajua hamisa mobeto? Yule mwanamitindo? ndo kapokonywa Huyo Dj majay Na Lulu michael ile hali Hamisa tayari ana. mtoto na uyo dj na very soon walikuwa wafunge pingu za maisha... Hamisa uyu apa
Ila hauwezi jua labda lulu kampa vitu vyote special jamaa akachanganyikiwa maana yule binti nae mtundu mtundu sana
 
Mshindi wa tuzo ya AMVCA 2016, Elizabeth ‘Lulu’ Michael amefunguka na kuelezea mahusiano yake na CEO wa EFM, Dj Majay baada ya hivi karibuni kuonekana kuwa karibu zaidi.
Akizungumza katika kipindi cha Friday Night Live cha East Africa Television Ijumaa hii, Lulu alisema kama ni kweli yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na Majay basi mashabiki wake watasikia taarifa za ndoa.
“Ninaweza nikasema ndio wakati sio kweli na ninaweza kusema hapana wakati ni kweli, lakini kikubwa zaidi kimaadili ya kitanzania, kimaadili niliyofundishwa mimi, mchumba hatangazwi, ndoa ndiyo inatangazwa,” alisema Lulu.
Aliongeza, “Kama ni kweli ndoa itakuja na watu wataona, lakini siwezi kutangaza wakati bado hatuna mikakati ya ndani zaidi.”
OK. my conclusion is these two are truly in love relationship. But they don't want us be informed now but wait to be informed by their marriage.
 
Unajua hamisa mobeto? Yule mwanamitindo? ndo kapokonywa Huyo Dj majay Na Lulu michael ile hali Hamisa tayari ana. mtoto na uyo dj na very soon walikuwa wafunge pingu za maisha... Hamisa uyu apa
duh kumbe ndo hivo? Basi hiyo ndoa haitadumu.
 
Hawa watoto hivi wanajua hali ya afya ya yule mama ambaye majay alikuwa akiwekwa mjini ambaye baadae alikuwa share na tajiri wa majay maisha club? ?? Waangalie picha za Mr nice za zamani na leo kabla hawajaanza kutambiana kwenye mitandao. ..mdudu yupo wasilete masihara
Mkuu unachokijua ndo nakijua, Na watu hawajui kuwa yule Mama ndo kamtoa Dj Majay!
 
Ka-hamisa kamedata kwa jamaa.Kutwa kujionesha huruma kwa kuandika vicaption vya vijembe.

Jamaa itakuwa alipewa yote na modo huyu.
 
Ila inauma jamani,
Kuporwa mpenzi na mtu unayemfahamu halafu unaachwa na mtoto mdogo,

Wanaume kwa kweli muwe na huruma.
Inasemekana hata huyo alieporwa nae kampora shoga yake kipenzi. what goes around comes around, Wanajuana watoto wa mjini.
 
Back
Top Bottom