ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Mimi shabiki wa Diamond na nina unga mkono juhudi zake za kuinua vijana katika mziki lakini awe ana angalia na watu wengine anao wainua kimziki kama akina Harmonize watakuja kumgombanisha bure na Diamond akaonekana Mbaya kwasababu ya huruma zake maana Zitamponza Siongei kana kwamba nina muonea Wivu Harmonize ila naona Harmonize kama ni Mropokaji na mtu anae jisikia sana na wakukurupuka anaona Kusaidiwa na Diamond ndo kawin Maisha Hajui kuna maisha baada ya Diamond
Siku za hivi karibuni amekuwa anazingua mara alikurupuka huko aliko kuwa akaenda mbio kwenye Media na kuanza kusema Ooh sijui Rich Mavoko kasign WCB,mara vuu Mavoko huyo kahojiwa akakataa kabisa kuja Harmonize kuulizwa tena Vipi mbona Mavoko anakataa anaanza ooh mimi sijui nilimuona anaingia Ofisi kwa manager na walikuwa wana maongezi na Manager nikajua anataka kusign WCB sasa hicho ni nini kwa Msanii kama Harmonize kwamba hawezi hata kureason out mtu mzima kama yule kwahiyo kila anae enda WCB kuongea na Manager anataka kusign pale Vitu vingine ni vya kukausha tuuu sio kila kitu lazima asemee watu watakuwa wanaogopa hata kwenda pale maana watasemwa sasa yeye sio wa kukurupuka
Haya kingine Diamond kapost twitter na Insta kuwa J5 watamtambulisha msanii mpya WCB yeye katoka huko alikotoka sijui aliwashwa na nini akamtambulisha Ray kuwa ndo msanii mpya WCB hata kabla ya J5 kana kwamba yeye sasa ndio CEO Wa WCB Diamond alikuwa anamaana yake kutomtaja na kusema watamtambulisha J5,sometime kwa msanii suprise ina mata sasa yeye mwenzie kaweka kufanya suprise kwa mashabiki yeye kashaenda insta na kumtambulisha Who are you by the way Harmonize?
Yaani dogo sijui analewa sifa kuwa kwa Diamond au ndo ugenini na jiji baada ya kutoka mTwara....Katoka tena huko kaenda interview anaanza kutoa siri za Kambia sisi Pale WCB kuna mwalimu anae tufundisha Kingereza kila siku asubuhi na usiku na darasa letu lina wanafunzi 16 hivi mwalimu analipwa kwa kazi hiyo Diamond ndo kamuajili hivi mambo gani hayo yakuaanza kusema kwenye Media...Sote tunajua Elimu ya Diamond mbona Diamond kajua Kingereza na hatuji aliko jifunzia wala hajawahi kusema ana mwalimu au anasoma hio lugha au alienda kwa Rasi Simba Magomeni mbona yeye hasemi tuliona Tu Diamond huyo anafanya Interview kwa lugha ya kingereza na anaongea kingereza safi yeye Harmonize ni nani wakusema WCB tuna mwalimu?
Harmonize asipo kuwa makini atakuja kuropoka vitu vya Ajabu kwenye Interview anazo zifanya,atakuja kuandika vitu vya ajabu kwenye mitandao ya kijamii kwa tabia yake ya kulewa sifa na kukurupuka! Watakuja wagombane na Diamond kisa tabia yake hio japo hatuombei hayo,mbona diamond ni msiri sana Tumekuja kujua A.Y ndo alimkutanisha na Davido baadae sana lakini sahizi kwa harmonize tutavujishiwa hadi nyimbo nyingi sasa Za Mondy!
Ni hayo tuu Harmonize atulie aangalie Game inavoenda na ajifunzee aache paparaa mbona akina Queen Darling hatuonagi wakiropoka kama yeye mtoto wajuzi Diamond alikosana na Rommy Jons Ndugu yake kabisa sembuse yeye harmonize wakuokotwa Atulie bhna sisi Mashabiki wa Mond tabia zake za kuropoka zinatuboa