Kanumba kumbe ana stori ya kusikitisha hivi?

Ni stori inayogusa kidogo, I mean imenifanya nipate jibu kwanini yupo alivyo
 
mbona watu kibao tu wamelelewa na mother zao washua wamekimbia, au kwa sababu celebrity kiaina ndo mnashtuka,...
 
Aah sio kihivyo,mapenzi yenu tu kwake ndio yamefanya mstuke kiana!
 
Ni stori inayogusa kidogo, I mean imenifanya nipate jibu kwanini yupo alivyo

Yupoje? Ananata?

Kuna jamaa niliwahi kukutana naye akaniambia ye ni mshabiki wa filamu za Kanumba.. Sasa kuna siku aliyokutana naye Mango Garden...
Alijaribu kumsalimia,Kanumba akaishia kumuangalia tu,halafu akampotezea... Jamaa alisikitikajee.... Pata picha..
 
Aah hapo hakufanya vizuri, ukiw msanii unatakiwa uwe mzuri kwa kila mtu japo hata hiyo salam kwani si kwamba watu wanakushobokeeea ila pengine wanaipenda kazi unayofanya bila hiyo wasingekua na mpango wowote.
 
Baba ni baba tu hata alikukataa ukifanikiwa rudi ukavune baraka kwake; kama nilisikia vizuri alimnanga sana baba yake eti anataka pesa zake.....litamlaani hata kama halikumlea...anajua uhusiano wa dingi yake na Mungu kwa sasa??
 
mbona watu kibao tu wamelelewa na mother zao washua wamekimbia, au kwa sababu celebrity kiaina ndo mnashtuka,...
Sema Washua wengi huwa wana back...huwa wanakuwa somewhere na "binocular" wanacheki mchezo unavyoenda coast ikiwa clear wana back..........

Kama Mshua wa Bw Almasi........ila kuhusu viwanja naye anaishia kuangalia tu kwenye insta kama sisi.....sijui hata kama anaijua Passport inafananaje, wakati Bi mkubwa anazigonga tu....yeye anaangalia tu kwenye insta kama sisi.

Washua wengine bana...huwa wanatamani wangezaliwa kuku...wakimaliza kuzaa tu wasepe zao.
 
Back
Top Bottom