warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,422
Msanii na mwanamitindo maarufu nchini, Jokate mwigelo, anaendelea kufanya vizuri kwenye soko la urembo, ambapo hivi karibuni alifanikiwa kuwashawishi warembo wenye mvuto wa aina yake bongo, Hamisa mobeto, genevieve mpangala, husna maulid pamoja na video queen anayekuja kwa kasi nchini aitwaye tunda kwenye ku advertise nywele zake mpya za kidoti short weave, ambapo warembo hao walionekana wakivalia weaving hizo kuzitangaza nywele za staa huyo asiye na makuu
Hata hivyo haujajulikana kama warembo hao walilipwa au waliamua tu kumsapoti mwanamke mwenzao kwenye harakati za kutafuta maisha.
Hata hivyo haujajulikana kama warembo hao walilipwa au waliamua tu kumsapoti mwanamke mwenzao kwenye harakati za kutafuta maisha.