Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hapa wadau tuangalie Hit Song zake tangia ujio wake Wa "THE RETURN OF THE KING" -Tangia ajiite KING ameehit song moja tu ya mwana.I do think kuna Song ambayo imeehit tofauti na Mwana? Zaidi ya...
1 Reactions
44 Replies
8K Views
Habarini Katika msimu wa sikukuu kuna show 2 kubwa zimefanyika! Ni ile show ya Diamomdplatnumz (SIMBA) Na Ali Kiba (BALOZI WA WANYAMA) Diamond kafanya show ake tarehe 25 pale Dar live kwa...
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Wimbo wa Utanipenda wa Diamond platnumz umezidi kuteka hisia za watu wa kila rika, kila nchi, kila lugha, kila itikadi kutokana na ukali wa wimbo Mh Zitto Kabwe ameguswa na kuamua kufanyia...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Msanii wa maigizo nchini, Jackline Wolper Masawe, ambaye pia ameshiriki kama video queen kwenye wimbo mpya wa msanii Diamond Platnums huitwao Utanipenda, amefunguka ya moyoni kupitia mtandao wake...
1 Reactions
45 Replies
11K Views
Tarehe 25 jana siku ya Christmas, Diamond alikuwa na show ya funga mwaka pale Darlive watu,watu walijitokeza kwa wingi sana kiasi kwamba hakuna pa kutema mate, ukinyanyua mguu hakuna pa kuweka na...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, mkuu wa kaya amewaacha makada motomoto wa ccm mitandaoni ktk baraza lake la mawaziri ndg Lemutuz,dada Mange na mnyange Wema.Katika nyakati tofauti makada hao...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Watu wengi wakiwemo mashabiki wa Wema na Diamond walitarajia kumuona pamoja Wema Sepetu akimpa kampani mpenzi wake Diamond Platnumz ambaye alikuwa anawania tuzo ya BET Awards 2014 huko Los Angels...
0 Reactions
84 Replies
15K Views
Kabla ya mwaka kuisha atakuwa kafikisha followers 1M bila kumfollow mtu yeyote ..............................CONGRATS KING
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Hebu tuachane na haya mambo ya Kiba vs Diamond kwanza tuangalie wanamuziki/wasanii wetu wengine wanafanya nini. Binafsi nimependezwa sana na kibao cha Q-Chillah akishirikiana na mwenzie T.I.D...
12 Reactions
126 Replies
24K Views
Haya ndio maoni ya BenPol kuhusu Kiba kwa mujibu wa TL yake. Maoni yangu binafsi Kiba hatua ya kwanza kabisa ukitaka usonge mbele achana na 7 anakupoteza ukiweza kutoka hapo kila kitu kitakwenda...
4 Reactions
195 Replies
34K Views
Daah jana pamenuka Instagram team domo walipaniki kinoma baada ya sepetunga kumpa shot out king kiba akiwasihi watu waende escape moko ili wakajionee tofauti ya mwanamziki ma msanii na kati live...
0 Reactions
50 Replies
9K Views
Wakuu Harmonize ni msanii chipukiz ambaye nimetokea kumuelewa sana hivi karibuni na kibao chake "Aiyola", Lakini tatizo huwa najisikia huzuni jinsi huyu kijana anavyotumiwa vibaya na Mondy...
0 Reactions
80 Replies
34K Views
MOYONI nina majonzi, sina tofauti na mpofu! Judith Wambura Mbibo Jide au Lady Jaydee kwa sasa hana makazi maalum Bongo, amehamishia makazi na shughuli zake katika ardhi ya Kansela wa Ujerumani...
1 Reactions
43 Replies
10K Views
wakuu kiukweli MZEE MCHOPU kwa umri wangu huu nimetokea kuupenda huu wimbo wenye ladha ya kimagharibi lakin ukajikuta upo TANZANIA ila kale kamdundo kake loo salalaa! Mtayarishaji yule ni mjanja...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Wadau, Nikiwa napitia maswala ya burudani nikapata habari kua Diamond ametoa single mpya ya UTANIPENDA??. Nikaona na kusikia ikipewa shavu kubwa tu kua ni single kali (??) na ita-hit sana redioni...
3 Reactions
61 Replies
16K Views
Habari wadau, Sijapendezwa na Tambo za Huyu masanja makandamizaji,japo Mungu amamempa nyumba kadhaa,magari kadhaa na mashamba ya mpunga,asijione ndio maisha kayapatia,Kuna watu walikuwa na pesa...
1 Reactions
65 Replies
21K Views
Huu ni upuuzi uliopitiliza wakati watu wakitafuta mahala pa kwenda kula bata usiku wa christmas maeneo ya Korogwe kumetokea tukio la kuudhi na kukera kwenye ukumbi ujulikanao kama Mamba club...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna habari kwamba mwanamuziki Diamond kashindwa gharama za kumtunza dada bilionea Zari,na amekuwa akilalamika chini kwa chini kwamba akaunti yake sasa inakauka, ni wazi kwamba penzi lao liko...
4 Reactions
78 Replies
18K Views
Tu wazima fans' Wa team no stress. Wale Wa kwa Showz ya Leo ndani ya mjengo DAR LIVE-TONIGHT.Tutakuwa na DIAMOND P. Utacomment kinachoendelea umo ndani kwa Whitehouse DARLIVEBABY. Now...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Hatimaye mchekeshaji maarufu Africa mashariki Eric Omondi ameachia Video yake alio ifanyia remix nyimbo ya Diamondplatnumz kaimba kwa dakika mbili na sekunde kama 39 hivi lakini nimependa...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Back
Top Bottom