Alikiba na Nuh Mziwanda waja na collabo ya mwaka - JIKE SHUPA

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382
Msanii alikiba aka King Kiba amerudi tena kwenye spika zako sasa hivi akishirikishwa na msanii Nuh Mzuwanda kwenye nyimbo mpya inayoitwa "Jike Shupa".

Wachambuzi wa mambo wanasema itakuwa colabo ya mwaka. Kollabo hiyo inatarajiwa kutoka wiki hii..

1461150944872.jpg

=======================

Download Nuh Mziwanda Feat Ali Kiba - Jike Shupa (Audio)

Akikataa mtasema ooh anaringa. Ni kawaida kuwasaidia wadogo hata yeye anapoimba na R Kelly kuna watu wanaona R Kelly anajirudisha nyuma. Lkn hata Mondi kuimba na Harmonize ni mfano wa kusaidia chipukizi.
Sasa unamlinganisha Mond na Kiba? Mond wa kimataifa sasa hivi.Ana kolabo kibao zinafuata sasa huyu ndugu yetu anashangaza kitendo cha kuanza kupewa kolabo za kumponda Shishi Baby.
 
Kuna uzi umu kua Kiba ana dharau kagoma kufanya ngoma na Hakeem 5 ila leo kafanya na Mziwanda maneno yameanza kua mjinga wenzie wako kimataifa yeye anafanya na muimba segere duh mashabiki wako kama lile tundu hata uliogeshe na pafyumu gani linanuka tu.
 
Ha ha ha balozi ft ganda la ndizi..... Ngoja shilole aje awazabe vibao
hihihihihhhh...shishi anachapa vibao utasema nyani mzee,nahc nuh mziwangda itakuwa kamiss sana makofi ya shishi,sasa ameamua kumchokonoa...mbaya zaidi anataka kumsababishia na King wa kusadikika kuonja ladha adimu ya makofi ya shishi baebe!
 
Msanii alikiba aka king kiba amerudi tena kwenye spika zako sasa hivi akishirikishwa na msanii nuh mzuwanda kwenye nyimbo mpya inayoitwa "jike shupa"
Wachambuzi wa mambo wanasema itakuwa colabo ya mwaka.
Kollabo hiyo inatarajiwa kutoka wiki hiiView attachment 341009

hatua mia nyuma hata huyo hakeem 5 sio level za kiba bora hata alivyozingua kanasa kwa dogo janja wa shishi kuna wasanii wengine sio kuwapa kolabo wajifunze kulinda vipaji vyao wanawaharibia wenzao nimeipenda colabo ya diamond na ay wote wakali wanapigania soko nje sasa huyo nuh uganda tu hafik.
 
Msanii alikiba aka king kiba amerudi tena kwenye spika zako sasa hivi akishirikishwa na msanii nuh mzuwanda kwenye nyimbo mpya inayoitwa "jike shupa"
Wachambuzi wa mambo wanasema itakuwa colabo ya mwaka.
Kollabo hiyo inatarajiwa kutoka wiki hiiView attachment 341009
Ha haa eti wachambuzi wanasema ni kolabo ya mwaka.

Ha ha ha balozi ft ganda la ndizi..... Ngoja shilole aje awazabe vibao
Ganda LA ndizi ndo nan tena?
 
Akikataa mtasema ooh anaringa. Ni kawaida kuwasaidia wadogo hata yeye anapoimba na R Kelly kuna watu wanaona R Kelly anajirudisha nyuma. Lkn hata Mondi kuimba na Harmonize ni mfano wa kusaidia chipukizi.
wabongo hawana jema kabisa
 
Sasa unamlinganisha Mond na Kiba? Mond wa kimataifa sasa hivi.Ana kolabo kibao zinafuata sasa huyu ndugu yetu anashangaza kitendo cha kuanza kupewa kolabo za kumponda Shishi Baby.

mnaotafuta nafasi ya Zari mko wengi sana

tatizo lako ni ujinga, ushamba na ushabiki wa kutokujua music ya Tanzania

Diamond kafika pale kwa sababu ya hao akina Kiba! kama haujui historia kaa kimya

btw wote ni watanzania, chuki za nini ? Kiba ni mkenya??

looser
 
Kafika kwa Juhudi zake, kama ni juhudi za kiba,mbona kiba yuko pale pale tokea aanze game? Acha ushamba weye.
 
Back
Top Bottom