housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,191
kwanza I love this guy. Very handsome. Lovely accent. Sauti Sasa!
Kama hiyo haitoshi ona hii
how hot is this man right now!
Amebarikiwa baby anayekula kazi ya mikono yake.
Baby mwenyewe ndo huyu
Wifi katulia jamani. Bonge la smile. halafu mimi pia member wa kuchanganya damu, you know?
Mnakaona kaBaby kadogo hako hapo? Ndo kanatolewa kwa Mara ya kwanza kuonja kipupwe cha London
Kanaitwa baby Ioan
Aaawwww