God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
...
Wao na mafashion designer kundi moja,hapa kwetu wameona haitoshi wameshaanza kutoga pua kuweka vipini.Kwa %kubwa fani yao na ushoga ni kulwa na doto sio wote ila wengi wao.
Vitu vinakera sana na Kutia kinyaa.Wao na mafashion designer kundi moja,hapa kwetu wameona haitoshi wameshaanza kutoga pua kuweka vipini.
Marc Anthony ni punga???? Mmmh nnavompenda
Asavali nampenda jamaa, anaonekana ana mahaba ya kukata na shokaYou are not famous until they say you are gay -Jay Z..
Tyrese jamani ! ?Marc Anthony ni punga???? Mmmh nnavompenda
Ushoga kwao ni ibada inaongeza kitu inaitwa Kundalini energy.Ni energy inayokuwezesha kufanya kila kitu unachotaka ikiwepo utajiri.Asante
Wanachofanya ni reverse Kundalini.Jaribu kimu google sex magik,how anal sex increase kundalini energy.Utaelewa what is going on.wahindu wangekuwa wanaongoza kwa ushoga!