Mabibi na Mabwana nawaleteeni Colours of Africa

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
643
845
wimbo mkali video kali. kweli unapomshirikisha Diamond hufanyi makosa. hii ni shida nyingine Africa. chek video hii
 
Video imependeza Sana... Sema Kuna Kitu kimoja nimekinote ni kuwa Sauti za Wahusika Zinamtala Msikilizaji kutega Masikio kusikia Wanasema Nn
 
Beat toka uhuru n nzito sana inabidi msanii awe ana payuka na kuimba kwa nguvu km davido alichofanya kwny tchelete
 
Ngoma kareeee duh!!!!
Last emperor inabidi nikuite tu hamna namna, njoo uone kichupa ha ha ha
Si unajua mtu akitaka kuzama kwenye maji haishi kutupatupa miguu na mikono...na ana malizikia hivyo.Nyota ya Diamond wa miaka miwili iliyopita sio hii ya kuunga unga kwa kwa kutumia migongo ya watu ili aendelee kusikika.kifupi ni kuwa zamani alikuwa anabeba watu,sasa hivi anabebwa ili aendelee kuwa kwenye spotlight
 
Ha ha ha ha ha ngoma umeicheki lakini? Naamini utaipenda....
 
Wimbo ni mzuri asee
dah! Big up Mafikizolo kwa kumweka Diamond na akafit kwenye ngoma.
 
Back
Top Bottom