Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,878
- 47,725
Adele named as UK's richest female musician ever as fortune hits £85m - Adele named as UK's richest female musician ever as fortune hits £85m - BBC News
Ehhh ila hatari sana adele mimi binafsi namkubali sana, nikuwa kwenye situation ya huzuni basi nyimbo zake huwa zinanifaraji sana adele ana fansbase kubwa sana, na ana zile alizo zifanyia remix kwa reggae ahh ni hatari yani balaahhyule manzi ni shida kuna kipindi alikaa 5yrs bila kutoa nyimbo lakini bado alikaa juu ya table
Yah kabisa, na nyimbo zake nyingi zimebeba ujumbe mzito kama someone like you, rolling.. Na nyingi yani, sasa ukisikiliza someone like you in reggae tone aisehhhh,na nyingine nyingi alizo ziweka katika mithili ya ki-reggae utazidi kumkubali....nachompendea huyu bishosti hana hata mbwembe za kujianika maungo na kufanya shoo za kukata mauno.ye anaimba tu mziki mzuri.anavaa kistaarabu sana
Huyu dada ana heshima zake tofauti na wazungu malimbukeni. Uyu akishakunywa wine yake na cigarettes yake ana mpango na mtu. Aliojiwa kuhusu kuacha kuvuta cigarette alisema ana mpango wa kuacha kuvuta.
Ehhhh teh teh teh kumbe, hii ya cigarette nilikuwa sijuwi kama she is addictive in such away mkuu,hivi katika africa mwananke akivuta sigara anakuwa mvunja maadili..Huyu dada ana heshima zake tofauti na wazungu malimbukeni. Uyu akishakunywa wine yake na cigarettes yake ana mpango na mtu. Aliojiwa kuhusu kuacha kuvuta cigarette alisema ana mpango wa kuacha kuvuta.
The same here she is my favourite of all the time ,time there is misunderstanding in relationship basi adele huwa ananiponya kabisa pitia nyimbo zake after sometimes nakuwa normal...She deserves! My best singer and melodist of all the time
How does it feel to watch ur twins singing adele`s songs i can imagine being in ur shoes , aseehh i wish could ave the same talented kids trying to sing while am watching them especially adele's songs ...My twins girls of 4yrs old like the shits she's singing so much,and they can even sing some of her songs like Someone like you,Hello,rumour has it and skyfall..
How does it feel to watch ur twins singing adele`s songs i can imagine being in ur shoes , aseehh i wish could ave the same talented kids trying to sing while am watching them especially adele's songs ...