Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

kiukweli kijana wetu katsha sn n baada ya kutua bungen na kushangiliwa na wabunge wa pande zote mbili bila kujali itikadi ya vyama vyao... nafkir ndio msanii wa kwnz nchin kupata mapokez ya nguvu...
6 Reactions
26 Replies
5K Views
Anauliza huyu bint mrembo Irene Uwoya yuko wapi kwa sasa?? Au ndio yuko bize kujipanga na Ile ubunge tuliotangaziwa na 'bonge la bwana ' pale uwanja wa taifa..??
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Aisee hii hata mimi nilipitwa nayo ama kweli mimi mapenzi basi nimeyavulia Shati akuu mapenzi sio ubondia bora nijitoe Leo akihojiwa na Diva clouds Fm Mziwanda amekiri kuwa Madee alitembea na...
6 Reactions
63 Replies
11K Views
Binti wa miaka 19 anadaiwa kuspend one night on the same bed na Hayati Papa Wemba amekua gumzo kwenye mitandao ya kijamii ndani na nje ya Congo(D.R.C) akidai kuwa na ujauzito wa Mfalme huyo wa...
2 Reactions
39 Replies
8K Views
Video Queen na msanii wa filamu Tanzania, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameweka wazi kuwa yupo tayari kucheza picha za ngono endapo atapata mshiko wa maana. Gigy amesema kwa kuwa anatafuta fedha ya...
3 Reactions
145 Replies
63K Views
Hali inaonekana sio shwari kabisa kwenye family ya nguli wa music tanzania. Kimbunga kikali Kilichosababishwa na mapenzi ya wawili (zari na diamond )kinaonekana kikiipiga vilivyo familia hii na...
5 Reactions
59 Replies
14K Views
Nguli wa muziki AY tunajua umeachia wimbo remix na superstar wa sasa Diamond platnumz, tunaomba utumie nafasi hiyo kuwakutanisha hao wadogo zako Diamond na mtaalam wa melody Alikiba ili...
2 Reactions
94 Replies
14K Views
haongei sana, ila anafanya sana, Big up Ben Paul,
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Staa wa bongomuvi ameliwa denda live kama yale ya Hollywood katika movie mpya. Je ndo kuendelea kwa sanaa yetu?
5 Reactions
54 Replies
19K Views
Inafuraisha kuona wasanii wetu sasa wanaelewa thamani yao na kupambania stahiki zao kwa utaratibu wa kisheria. Hatimae Mahakama ya hakimu mkazi Ilala imeiamuru kampuni ya mawasiliano Tigo...
11 Reactions
251 Replies
42K Views
Karne hii baadhi ya wasanii wanajichetua mno maadiri ya mtanzania miaka 10 ijayo sijui itakuaje inasikitisha sana...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Akihojiwa na gazeti la Mtanzania baada ya kuahirishwa kwa kesi yake ya ubakaji inayomkabili, amedai kuwa Flora ndiye anayejua ukweli wa nani baba wa mtoto aliyejifungua hivi karibuni. Ameongea...
2 Reactions
36 Replies
7K Views
Mwimbaji gwiji wa muziki wa TAARAB asilia kutoka Zanzibar wa kundi maarufu duniani lenye miaka zaidi ya 105 Nadii Ikhwaan Safaa (Malindi Musical Club), Bi Fauzia Abdallah, amefariki dunia...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Izzo busness, Stamina, Country boy, Quick rocka, Baba levo, Ali kiba, Nuh mziwanda, Gigy Money, Shetta na Kimbunga mchawi.. Sasa nimeanza kuamini kauli ya nguli wa muziki wa Hip hop, Juma...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Awali nilitaka hoja hii kuiweka katika jukwaa la Great Thinker nikaona sina fursa hiyo..hope mods wanaweza kuweka huko.Tujadili kama watu wasio na mihemuko -------------------------- Kwa maoni...
13 Reactions
49 Replies
8K Views
Mke wa rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete amevitaja vitu anavyovipenda kufanya akiwa nyumbani. Akifanya mahojiano na waandishi wa habari wa Clouds Media...
6 Reactions
69 Replies
14K Views
Kwa jinsi movi inavyoendelea kati ya Ndindindi na Jide.. Inabidi komando atoe remix ya wimbo huo Ndindindi ameshirikishe True boy ili aweze kumchana vizuri Ndindindi mana komando hampi makavu live...
6 Reactions
14 Replies
3K Views
Video queen ambaye haishiwi vituko, Gigy Money amefunguka kwa kusema kuwa yeye siyo mtu wa kupenda kufanya mapenzi kama watu wanavyodhani. Akizungumza na Bongo5, Gigy amesema maisha aliyopitia...
1 Reactions
74 Replies
20K Views
  • Poll Poll
Tufahamu hapa, maana huku mtaani watu hadi wanashikana mashati. Ipi ngoma kali hapo na nani kamfunika mwenzie ktk tungo, beat, video, swag, sauti.. n.k. Tumalize ubishi hapa. Mimi kura yangu...
0 Reactions
49 Replies
16K Views
Back
Top Bottom