Picha ya Lemutuz yauzwa kwa mnada wa sh mil 7

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,619
21,363
Chama cha Lembebezz Akili kubwa Instagram (LAKI) leo kimejikuta katika vita kubwa ya hela baada ya kugombania kununua picha ya King of all social media bongo,vita hiyo ilianza baada ya king huyo kupost picha yake aliyopiga miaka ya sitini mwanzoni akiwa sekondari huku ikiandamana na maneno matamu ambayo iliwaacha watoto hao wamelowa tepetepe.

Baada tu ya kupost picha hiyo Lembebezz mmoja alisema yuko tayari kununua picha hiyo kwa mil 3 aiweke chumbani kwake ili kabla ya kulala awe anapata supa kiss kila siku ambapo mwingine alijitokeza na kusema yuko tayari kutoa mil 4 kabla ya mwingine kusema yeye atatoa mil 7.

LAKI wamesema wako tayari kufanya lolote ili kuweza kumiliki picha hiyo ambayo king amedai kipindi hicho Lembebezz walikuwa wanamuangukia.Picha hiyo iliozua tafrani ni kama inavyoonekana hapa chini.
12976175_247266062292550_1434210264_n.jpg

lemutuz_nation:
NGOJA TUPUNGUZIANE STRESS .......... KUNA WATU WANAKUWA POA UKUBWANI BAADA YA KUWA NA PESA na kuhamia mjini mimi ni born hapa hapa Downtown Ocean Road hahahahah NILIKUWA POA Loong time ago

HAHAHA hapa Form Two Kwiro Secondary School hahahaha wabebezzz walikuwaga wananidondokea wenyewe U know .....wanalewa na Le Machozzz na Super Lips hahaha U know ... hahahah au kuna mwenye problemzzz hukooozzz?

Hahahahahah LE MBEBEZ Hahahah U know! - le Mutuz Nation
 
hivi huyu jamaa ua yuko sawa kwel..? Mbona anachozungumza na umri wake haviendani...le akili kubwaz
 
Hahahahah.. Jamani baba Mungu aliye juu mbinguni atukuzwe. Hizi drama zinazofanywa na viumbe wake atakuwa mwenyezi Mungu anazifurahia?
 
Back
Top Bottom