Nitampata vipi Saida Karoli?

Nyakarungu

JF-Expert Member
May 1, 2011
472
377
Kwenye uwezo wa kunipa mawasiliano ya dada Saida Karoli pls, Kuna project anahitajika Sana yule mama
 
Unataka ufanyenae project kama ya Diamond na yule dada wa kiganda? Good lucky mkuu ila anza mazoezi ya katerero mapema ngoma kubwa ile.
 
Kwenye uwezo WA kunipa mawasiliano ya dada saida karori pls, Kuna project anahitajika Sana yule mama
Mkuu usipate tabu ukitaka namba za msanii wa Tanzania yeyote muone huyu jamaa anajiita @soudbrown kule insta Kama upo serious lakin
 
Back
Top Bottom