KACHINJA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 1,263
- 869
Kuna Watu walikuwa na vipaji kwenye ulimwengu wa muziki hasa WA kikongo. Kuna jamaa alikuwa anaitwa diblo dibala alkuwa mpiga solo getter maarufu Sana. Hata hvyo baadaye akatokea kijana mwingine daliki moko alifanya kazi ya kupiga gitaa na wasanii weng Sana.moja ya kazi zake alifanya na yondo sister alimpigia kitaa mpaka yondo akachanganyikiwa na kumvulia chupi.