Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,067
Kwenye ile thread ya tetesi za Diamond na Shetta kuzinguana kisa madai ya Diamond kumtafuna mke wa mshikaji, kuna member humu alifunguka vilivyo kuhusu mke wa Shetta kuliwa sana na Diamond pande za sijui Mwananyamala au Magomeni (mojawapo). Tena mdau huyo alifunguka zaidi kumtaja mke wa Shetta alivyokuwa tangu akiwa anasoma CBE..
Sasa leo bwana mkubwa, Baba Qayla kakanusha katu katu kuhusu ukaribu wa mke wake na Diamond. Nimesoma kwa Millard akiripoti mahojiano ya Shetta na Gea Habib.
Tufukue makaburi?!
====================
Kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib ametuletea Hekaheka inayomhusu Shetta. Geah kamuuliza Shetta kuhusu story zilizowahi kusemwa kuwa mke wake anatembea na Diamond na baadae akafuta picha zote za instagram ambapo matukio hayo yalifuatana.
Baada ya kuulizwa Shetta amesema sio kweli na anaumuamini sana mke wake pia akasema………..>>>ukaribu wa mke wangu na Diamond ni mdogo sana wala sio watu wa kupigiana simu, hata Diamond namba ya mke wangu hana:-Shetta