PICHA: Jionee kaburi atakalozikwa Papa Wemba

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,253
13138741_795482923921909_978408592250662178_n.jpg


Picha hii inasemekana ndilo kaburi atakapozikwa mwanamziki Maarufu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kwa jina la Papa Wemba.

Huu ni zaidi ya ufahari, lakini mimi naona hauna maana..
 


Halishindi hili kaburi la king Abduli wa saudi
Huyo alikuwa mfalme wa taifa tajiri duniani.ila kaburi halijajengewa hapo na hajazikwa na jeneza wala kabur halijasakafiwa ni udongo tu hapo na sanda
 
Wenye Dini yao kina Pharaoh wamezikwa kwenye ma pyramid makubwa.....
 
Jamani watu wa imani mnasemaje kuhusu hii? je ni halali au haramu kujengea kaburi? naombeni majibu plz
 
alazwe mahali pema. uzuri wa kaburi haku mshawishi MUNGU kumuweka anapo stahili
 
Back
Top Bottom