Harmonize ndani ya usafiri mkali

samsun

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
7,386
5,962
13151079_1085803154795781_1739197324_n.jpg


Habari zenu wakuu.

Kwa sasa sio jambo la ajabu kwa msanii wa TZ kuwa na usafiri,ila kilichonishangaza kwa msanii Harmonize kwa kipindi kifupi tu kuweza kumiliki gari aina ya Mark X ina maana DIAMOND anamlipa vizuri sana
 
WCB inaonekana kuna hela sana ila cshangai mbona Madee Ali kamnunulia ndinga Janjaro
 
Anastahili kuwa na ndinga, mda si mrefu ataanza kuiingizia WCB mpunga mrefu kwa shows za ndani na nje

Hawanywi pombe, hawaendi club wao ndani tuu tuu kurekodi na kufanya mazoezi ya muziki na mwili
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mziki unalipa sema watu walikua hawajaujulia sasa Diamond anawaonesha njia.
 
Hanscana ana harrier zile new model

wakati kuna mtu yuko mwaka wa 5 mtaani ana degree yake ya mass communication anaona bora awe mpanga mabox kwenye supermaket ya nakumatt


haya maisha haya we acha tu

ila ukiusikiliza huu mwimbo kwa makini utajua namaanisha nini


 
Back
Top Bottom