Kuna tetesi kuwa sebo hakufurahishwa na ujio wa gerad hando na pj pale E. fm na kuona atafunikwa kwenye kipindi cha joto la asubuh akaamua kusepa hizi tetes ni za kweli? au ni stori za kitaa?
sidhani kama kuna ukweli, ni uzandiki tu. Wiki mbili zilizopita nilimwona Kinondoni kwenye moja ya shughuli za EFM. Na alitambulishwa na Chogo kama GM wa Efm.
Huyu jamaa anamishe mishe nyingi sana! Hata alipo kuwa magic fm alikuwa anakaa karibia wiki bila kusikika! Atakuwa yupo mjini ana set michongo ya hela! Haya maisha ya Dr Mangufuli usipo piga mishe nje na ndani dah mwisho wa siku haya maisha yatakupiga dole ukiwa umesimama!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.