Kingwendu kujikita zaidi kwenye muziki, sasa asaka meneja

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
Kingwendu.._full.jpg

Msanii wa vichekesho na muimbaji, Kingwendu amesema angependa kuwa na msimamizi wa shughuli zake katika sanaa ya muziki ili aweze kutoka badala ya kutegemea uchekeshaji peke yake.

Akizungumza na Times Fm, Kingwendu alisema kuwa amekuwa akitoa nyimbo mbalimbali lakini bahati mbaya hazipati nafasi ya kusikilizwa kwenye vituo vya redio kwa ajili ya kumtangaza.

“Nimegundua kuwa sababu kubwa ambayo inanikwamisha kutoka kimuziki ni kukosa meneja wa kusimamia kazi zangu, hivyo najaribu kuangalia uwezekano wa kumpata,” alisema kingwendu.

Msanii huyo alisema kuwa ana uwezo wa kupambana na wasanii wa muziki wa kizazi kipya wanaotamba kwa sasa na kuwabwaga iwapo atapata meneja wa kusimamia kazi zake vizuri.

“Hao wanaotamba sasa ni kwa sababu wana watu wa kusimamia kazi zao na mimi nitafanya hivyo ndipo mtaamini kile ninachokisema kwamba nina uwezo mkubwa wa kuimba ila ninakosa usimamizi tu,” alisema
 
Huyu na Majuto wapiga picha wengi huwa hawapendi kufanya nao Kazi kwakuwa hushindwa kujizuia kutokucheka pindi wanapokuwa wanawashuti. Scenes za Kingwendu na Majuto mpaka zije kukamilika zinaweza hata kuchukua siku nzima au mbili kwani kuna wakati unaweza ukamwambia Kingwendu au Majuto " cut " huku unamshuti tena ukiwa serious lakini kwa kituko ambacho mmoja wapo atakifanya utakuja kujikuta umeangusha Kamera au huna mbavu kwa kucheka. Kingwendu na Majuto kwa UKOMEDI hapa Tanzania ni habari nyingine!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom