Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mnyange na mfanyabiashara wa vipodozi jijini Dar es salaam amempongeza her American counterpart kwa kuweza kutumia bidhaa zake za midomo.Hali hiyo ilitokea baada ya Kim kuweka picha yake kwenye...
5 Reactions
86 Replies
11K Views
Subaiiii Eti naskia jamaa anaendesha bodaboda kweli maisha yanashuka na kupanda.
2 Reactions
64 Replies
10K Views
Kijana ni mchapa kazi and very analytical sikujua kwamba sio kilaza pia...uende mbali ndugu................... Mpiganaji Spencer Lameck akiwa mzigoni mara baada ya kumalizika kwa mahafali ya...
4 Reactions
38 Replies
6K Views
Akiongea na Xxl ya Clouds fm amesema ndani ya mwezi huu atakuwa anamfollow mtu mmoja mmoja kisha ana muunfollow na ni kwa wachache watakaobahatika... "Nimeanzisha utaratibu wa kuwafollow...
2 Reactions
49 Replies
8K Views
Mapenzi ya Kajala na Quick Rocka yamekuwepo kwa muda sasa lakini hakuna hata mmoja amewahi kukiri hadharani. Hata hivyo penzi linaponoga, si rahisi tena kulificha. Ndio maana Quick ameamua...
2 Reactions
20 Replies
7K Views
  • Closed
Meneja wa kundi laWCB babu tale amedai kuwa wao hawa manage hisia za wasanii wao bali kazi zao, na ameongezea pia wasanii hao kutembea na wanawake waliowazidi umri ni bahati na wanamuenzi mtume...
6 Reactions
16 Replies
7K Views
MWANAMITINDO Amber Rose ameendelea kuzungumziwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini Marekani, baada ya kuonekana na nyota wa kikapu wa timu ya Toronto, Terrence Ross wakiwa katika mazingira...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Hongera Alikiba #kingkiba Uzuri wa kazi yako ndio uliofanikisha leo kupata views Million 1 just only over 1 week tangu iachiwe YouTube. Umesimama mwenyewe bila collabo na umetoboa mwenyewe bila...
5 Reactions
56 Replies
7K Views
Huyu mzee hapatikani kwenye mtandao wa kijamii wowote,hapatikani Facebook,Twitter,instagram,jf,Google,YouTube,snapchat na ukute hata whatsapp hayupo huyu mzee.natamani sana kumjua sura yake,naomba...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Mwanadada machachari wa Muziki nyororo wenye kuamsha hisia za kidume kisichopandisha kuweza kuumudu majukumu ya Mume kwa mkewe bila wasiwasi, ameonekana ndani ya Bunge kuwasabahi Wabunge wa CCM...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Did Justin Bieber steal the best bit of Sorry? - Did Justin Bieber steal the best bit of Sorry? Habari zenu wadau, Kuna taarifa zimetolewa kwenye chombo cha habari bbc kumuhusisha mwanamuziki...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Aliyekuwa mtangazaji wa clouds fm, Dina Marios, leo kupitia ukurasa wake wa instagram, amefunguka kuhusu tetesi zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii, kuhusu bifu lake na mtangazaji mwenzie...
2 Reactions
173 Replies
62K Views
BAADA ya urafiki wa waigizaji mashuhuri na wanaozungumzwa sana nchini, Wema Sepetu na Aunty Ezekiel ‘Mama Cookie’ kuvunjika, waigizaji hao wameibuka na kudai kwamba hawahitaji marafiki...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
us baby
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwema wanajamvi.!? -Wasanii wa muziki wa dansi, rhumba, bongo flava ,baadhi yenu kitendo cha kila mkifanya mahojiano na vyombo vya habari kuhusu labda kuimba mlianzia wapi.? Majibu yanakuwa eti...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ni siku nyingine tunakutana hapa kwenye kilinge chetu cha majungu, fitina, na figisu figisu sehemu ambapo...
15 Reactions
126 Replies
13K Views
Prince died of an accidental overdose after he self-administered the powerful painkiller fentanyl, the Midwest Medical Examiner's Office reported on Thursday. 57-year-old singer was found dead...
0 Reactions
2 Replies
789 Views
Magazeti ya udaku na stori za kuuza magazeti,leo timu zetu pendwa zote zimepewa za uso hakuna wa kumcheka mwenzake.
0 Reactions
32 Replies
20K Views
  • Closed
Le mutuz anasatahili heshima, ni mtu mzima sana, ingekuwa amri yangu anafaa apigiwe mizinga 21. Shkamoo le mutuz Birthday loading..... 25 June :D
8 Reactions
150 Replies
25K Views
Back
Top Bottom