respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,842
Mwanadada machachari wa Muziki nyororo wenye kuamsha hisia za kidume kisichopandisha kuweza kuumudu majukumu ya Mume kwa mkewe bila wasiwasi, ameonekana ndani ya Bunge kuwasabahi Wabunge wa CCM baada ya kupata Stress kutokana na kutokuwepo kwa Wabunge wa Upinzani Bungeni.
Hali hiyo imeonekana kuwafurahisha Wabunge wengi wa CCM kiasi cha kuonyesha meno yote thelathini na mbili yaliyoumbwa special kwa binadamu mwenye umri wa mtu mzima.
Pichani anaonekana Chenge sambamba naye pia anaonekana Nape ambaye uzalendo umemshinda kiasi cha kuomba picha ya kutokuwa mbalimbali ili angalau joto la mwanadada huyo liweze kumuambukia...!!!!
Picha kufuata soon
BACK TANGANYIKA
========
Mwanamuziki nyota nchini, Lady Jay Dee leo ametembelea bungeni kilipokuwa kikiendelea kikao cha 36 cha Bunge, mjini Dodoma ambapo baadae alifanya mazungumzo na wabunge na mawaziri mbalimbali.
Chanzo: Mwananchi Blog