juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Huyu mzee hapatikani kwenye mtandao wa kijamii wowote,hapatikani Facebook,Twitter,instagram,jf,Google,YouTube,snapchat na ukute hata whatsapp hayupo huyu mzee.natamani sana kumjua sura yake,naomba mwenye picha yake atupie hapa maana ni mchambuzi mzuri sana wa habari,kama humjui sikiliza Magic fm kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa nne.
NB:Magic fm ndio redio ambayo ni kongwe ila imedumaa vibaya sana.haina vipindi vilivyopangika,inshot ndio redio ya zamani ambayo ni ya hovyo kupita redio zote
NB:Magic fm ndio redio ambayo ni kongwe ila imedumaa vibaya sana.haina vipindi vilivyopangika,inshot ndio redio ya zamani ambayo ni ya hovyo kupita redio zote