Video ya Aje ya Alikiba imehit 1 Million views over one week

Collabo kafanya na M.I na watu wengi ikiwemo mimi nimekuwa disappointed kutokumuona kwenye video pia na verse yake kufutwa kabisa

So video sijaipenda japo ni mmoja kati ya hao milioni viewers
 
Hongera Alikiba #kingkiba Uzuri wa kazi yako ndio uliofanikisha leo kupata views Million 1 just only over 1 week tangu iachiwe YouTube.

Umesimama mwenyewe bila collabo na umetoboa mwenyewe bila kubebwa na collabo,

#BigUpKiba
Ametoboa wapi mkuu? sijakuelewa
 
Collabo kafanya na M.I na watu wengi ikiwemo mimi nimekuwa disappointed kutokumuona kwenye video pia na verse yake kufutwa kabisa

So video sijaipenda japo ni mmoja kati ya hao milioni viewers
Yeye kaamua kutolea video original yake, ndio hiyo ina em views!
 
mimi nikisikia sijui flani ana views ngapi huwa sishtuki sana, hiz teams na watu wake zina shida sana, unaweza shangaa shardcore na matola peke yao wame view mala 20,000 ukitaka kujua mengi jaribu kujipendekeza wakuunganishe kwenye magroup yao ya whatsap, utajichokea mwenyewe,
 
Hahahaha unaweza kuta watu 10 tu wameangalia mara laki 300,000
 
Haiwez kua kwel, inshu ya youtube viewers ni swala la peoples power, there is no way unaweza kupinga hilo

Hizi pumba uloandika hapa au unafikiri youtube ni Tz peke yake?? Viewers ina maana wanaoisikiliza ni wengi na imependeka.. Angalia video youtube za wanyamwezi ndo utalijua hilo sio unaangalia akina shilole tu then unakuja mwaga pumba hapa za Tandale.. Nyanoko lolo!
 
Mods huyu ngosha ametukana hapo mwisho,
 
Hongera Alikiba #kingkiba Uzuri wa kazi yako ndio uliofanikisha leo kupata views Million 1 just only over 1 week tangu iachiwe YouTube.

Umesimama mwenyewe bila collabo na umetoboa mwenyewe bila kubebwa na collabo,

#BigUpKiba

Wiki cku izi ina cku kumi
 
Back
Top Bottom