Spencer Lameck Uende Mbali Sana

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Kijana ni mchapa kazi and very analytical sikujua kwamba sio kilaza pia...uende mbali ndugu...................

New Picture (7).png

Mpiganaji Spencer Lameck akiwa mzigoni mara baada ya kumalizika kwa mahafali ya 17 ya chuo cha mahusiano ya kimataifa na diplomasia, anayezungumza na spencer ni mbunge wa bunge la afrika Mh said mtanda ambaye naye alihitimu chuoni hapo na kutunukiwa stashahada ya uzamili katika mahusiano ya kimataifa na diplomasia.
 
Azam TV hawachelewi kumchukua maana wao kama Yanga hawataki mtu ang'ae nje yao . Bado sijaona umuhimu wa Azam kurundika watangazaji wote wale mahiri !
Nilisema toka mwanzo kuchukua watangazaji wengi haitoshi bali ubunifu kwenye vipindi ndio unatakiwa..unaweza kumfundisha mtangazaji yeyote akafit...! ITV wanajua sana kufundisha watu hasa kwenye utangazaji
 
hili nimeliona na nahisi AZAM kama hawana mipango ya muda mrefu watapoteza malengo ya wengi sana
 
Back
Top Bottom