Amber Rose adondokea kwa mcheza kikapu

Pistol

Senior Member
Oct 13, 2015
194
86
amber-rose.jpg

MWANAMITINDO Amber Rose ameendelea kuzungumziwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini Marekani, baada ya kuonekana na nyota wa kikapu wa timu ya Toronto, Terrence Ross wakiwa katika mazingira ya kimapenzi.

Amber Rose mwenye umri wa miaka 32, amenaswa akiwa na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25, anayecheza katika Ligi ya NBA nchini humo.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, mrembo huyo alidai kwamba amechoshwa na usumbufu wa wasanii wa hip hip, hivyo ni bora atoke na wanamichezo wa kikapu.

“Haya ni maisha yangu mapya na nipo huru kufanya mambo nitakavyo, ukweli ni kwamba wasanii wa hip hop wanachosha, bora niwe na wanamichezo nione itakuwaje,” aliandika Amber Rose.

Mrembo huyo aliwahi kutoka na rapa Kanye West, walipoachana alidondokea kwa rapa mwingine, Wiz Khalifa wakapata mtoto waliyempa jina la Sebastian na sasa amedondokea kwa mcheza kikapu huyo.
 
dah nimefungua haraka nkajua kadondoka kwa hasheem thabit, ila kwa wenzetu ishu ya umri hua haimati hata siku moja, lakn bongo wolper amekadaka kahamornise bs watu mmenyeeea, dah
 
inanoga siku ya kwanza tuu kama moyo hauhusiki, ukishapiga mzigo haina maana
Haha mpaka mtu kamzalia mtoto lazima Moyo wa Khalifa ulihusika sana ,labda wameachana kwa mambo mengine tu ila sio swala la moyo ,halafu Nick Canon kama kapita hapo hivi
Halafu na kale katoto ka P didy ka kizungu
 
Aye yo if I just got released the
last thing on my mind would be
another party it would be MY SON
cuz no amount of money can
replace my time!!
 
Kanye hakukimbia, alizinguliwa. Sikiliza verse yake kwenye deuces remix, utasikia maumivu yake.

Muva is a goddess. She ain't just another Coca-Cola bottle.
Yeah sehemu ya mistari ya Kanye nayoipenda " I hate niggas, but I love your mom
give her a kiss for me, her second son
get your mind right baby or get your shit together
you gonna be hot a little while
I’mma be rich forever"

Yeah Amber is a lot of things
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom