Huu ndio umri halali wa le baharia

Status
Not open for further replies.

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
69,748
136,833
Le mutuz anasatahili heshima, ni mtu mzima sana, ingekuwa amri yangu anafaa apigiwe mizinga 21.

Shkamoo le mutuz

Birthday loading..... 25 June :D
IMG-20160602-WA0014.jpg
 
yaani jawa vijana wanaodai mafao yao, si wavumilie tu wafike umri wa le baharia akili kubwa, just joke!
 
duuh..aongeze bidii ya mazoezi na maji mengi ataendelea kuonekana kijana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom