Management ya Ali Kiba ni mbovu! Imekosa vision na innovation

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,160
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ni siku nyingine tunakutana hapa kwenye kilinge chetu cha majungu, fitina, na figisu figisu sehemu ambapo UKWELI hauna gharama na utakuweka huruuuuuuuuuu! YOU CAN HATE THE GAME BUT DONT HATE THE PLAYER. Nasisitiza hii nchi huru kabisaaa, wewe tokwa povu utokwayo ila ujue tu matusi sio mtaji useme uuze utajirike. Safisha kinywa tema sumu kama chatu.

BACK TO TOPIC!

Seven, mwanamke mwenzangu, UTU MWANAMKE! Dada wa mie mchaga mwenzangu umetoka kishumundu umekuja kutafuta mjini hapa lakini ndo hivo kikulacho ki nguoni mwako mtu wa huko huko kwenu nakuweka kikaangioni leo, mwanamke mwenzio, tobaaaaa! Kwa kujali utu mwanamke nitakupunguzia dozi hutopata dozi nayompaga Sallam.

Seven dada angu natambua juhudi zako tangu uko na kina late Amina Chifupa wa Mpakanjia. Natambua the way you worked your way up mpaka kula shavu huko Sonny na big labels zingine kama DSTV. i RESPECT AND ACKNOWLEDGE YOUR HUSTLE. Being a woman and all in this game i respect you even more. It may be years kabla ya kuwa na another woman player as tough as you. You are one of kind.

Truth be told UMEKUWA BUTUUUUUUUU! The years have worn you down, you have lost it in the game. Huna makali kabisaaaa. You no longer have the required vision, inovation nor direction na umabakia kufanya kazi kimazoea mazoea na under pressure. Tukikuchamba unatafuta kitu kikubwa kutupooza afu baaas. You get comfortable with being the old cargo that you are.

Kiba is a good artist, exceptional if i must admit, he worked against the odds na kujikakamua mpaka kaunya huo wimbo wa Aje, it could be the last hit in his career, ila unavomfuja fuja huyo Kiba na huu wimbo wake IT IS HEART BREAKING!

Imagine hata bibie NDI NDI NDI made more money from shows and appearances than Kiba! REALLY??????? Lets go factual tangu wimbo uwe release HOW MANY SHOWS KIBA KAFANYA? Kwa caliber ya huo wimbo wa Aje ungekuwa a little street smart backed up na the undying support THE LEGENDARY TEAM WEMA, ungeweza kuorganise AJE DAY CONCERT ukachukua Uwanja wa Taifa na ungejazaaaa mpaka ukafurikaaa. Ungemleta MI ndo kabisaaaa! (Ombi la kumkeep company MI bado liko pale pale msinitose) Not to mention sponsor ship za Pepsi, Coca, TBL, Serengeti, Tigo, Voda, ETC kwenye hio event mchanaa jumamosi tulivuuu.

Usingeishia hapo ungeorganise AJE VIP Night Mlimani City tiket 50,000 ukafanya kitu flani amaizing, mbona kwa ushabiki mbuzi tungetoa!!!!!! Nusu kilo kitu gani tulivokuwa na kiu Kiba arudiiiii.

Ungeorganise Country Tour ya Aje kwenye 6 major cities hapa Tz.

Ungerorganise East Africa Tour ya Aje. nchi zote 6 za mashariki na unachukua stadiums na sponsor ship za kule. Unajadiliana na hawa waliotoa vinyimbo vipya wamsindikize.

Baadae unajadili na wabeba box kama nchi 5 kuwapelekea Ali inakuwaje sasa

ALL SHOULD HAVE BEEN COORDINATED KABLA YA RELEASE AU IMEDIATELY BAADA YA RELEASE, RELEASE TAREHE FLANI, WIKI ILE ILE MMERELEASE INATOKA RATIBA KAMILI YA SHOWS ZOTE HIZI MNAANZA KUZIPROMOTE. KIBA HAKUTAKIWA AWE ANACHEZA BAO ANALOCHEZA SAHIVI ILITAKIWA AWE OVER BOOKED.

Tatizo wewe Seven na wenzio MNATUMIA MBINU ZA KIZAMANI ZA 1990S KUSUBIRI WATU WAANDAE SHOWS WAWAITE? F.U. IT IS 2016 FOR CRYING OUT LOUD. WEWE MENEJA UNATAKIWA UWE NA IDEA YA KUMPELEKA MSANII WAKO SEHEMU FLANI AUKWENYE EVENT FLANI THEN NDO UNAANZA KUTAFUTA PROMOTERS MTAKAOSHIRIKIANA. NA SPONSOR SHIP ZA MAKAMPUNI. WEWE UNATAKIWA UPELEKE KIPAPA CHAKO RWANDA, BURUNDI, KENYA KUJADILI NA MAPROMOTER WA KULE MKIMPELEKA KIBA KULE INAKUWAJEEEE?

HATA KWENYE ENDORSEMENTS SIJAONA MENEJA BONGO ANAEJUA KUSAKA ENDORSEMENTS, YALE YALE MNANGOJA MFWATE. MAKALIO YENU MMEYATULIZA MNAANGALI SIMU. HAVE YOU HEARD OF A WORD AGGRESSIVE?????? KUNAKITU KITAITWA EXPRESSION OF INTEREST (EOI) MNACHOTAKIWA KAMA MAMENEJA MUWE MMEKITUMA KWENYE KAMPUNI ZOTE KUBWA SI CHINI YA 20 HAPA BONGO MIKIPROPOSE ALLY ANAWEZA IFANYIA NINI HIO KAMPUNI KWA COST GANI. KAMPUNI IKIWA INATAKA SASA MSANII TAYARI DOCUMMENT IPO PALE IMEJITULIZA, HATA MARKETING MANAGER KUOMBEA HELA PROJECT KAMA HIO NI RAHISI COZ MSANII TAYARI KESHAONESHA NIA, NA GHARAMA ZAKE ZIKO WAZI SI ZA KUBAHATISHA MAMBO YANAENDANA NA CORPORATE CLIMATE.

Atleast Dimond anatumia Social pages zake vizuri kidogo ila ane mda mwingine ndo hivo anapiga majungu ila atleast mashetani yakikaa vizuri unakuta anapost ratiba zake which is a good thing na kitu nimeona wapopo wengi wanafanya kama PSQUARE, MY BAE DAVIDO, NA BABA GIGY ALHAJI TECHNO. Ally Kibakuli wa mie mmmmhhhh! Dont get me started about his social pages.

BOTTOM LINE IS SEVEN UMEPWAYA HAPO, UMEKOSA WHAT IT TAKES KUENDANA NA MABADILIKO YA SOKO LA MUZIKI BONGO, EITHER UONGEZEWE NGUVU, FIND NEW TALENT YA KUKUPA MAKALI KWENYE MANAGEMENT AU ACHIA NGAZI. UENDAVYO SIVOOOO KABISAAAA.

Ali kiba Beyonce kumfukuza manager wake baba yake mzazi haikuwa kazi rahisi hata kidogo ila ULIFIKIA WAKATI ALIKUWA BUTU, AKASIHA MAKALI NA KUFUKUZWA NDO ILIKUWA ONLY OPTION. Juzi Beyonce huyo huyo KATIMUA TIMUA MANAGEMENT YOOOTE mapaka ndugu zake, why? Imekuwa butuuu, inamtia umasikini tu. Na wewe Ali umri ushakukimbizaaa, ukizubaa you wont get max from your career.

NI HAYO TU.

HAYA SASA RUKSA KUTOKWA POVU.
 
Big up Dada lara 1,umeongea point ya msingi sana. Kama Kiba na management yake wapo makini na wanachokifanya then they will take your advice into consideration.
 
FisadiKuu

HAHAHAAAAAAA! Musci business is all about TIMING, NA SO FAR WASHAIKOSEA, NYIMBO ISHAANZA KUPOA POA, NA BY JULY TUSHAISAHAU KABISAA. SASA HIZO SHOWS ZITAANZA LINI LABDA?

Seven kashazeeka kwenye fani. Timing mpaka tunavoongea inamla Tigo. Ataanza show za pupa, show za pupa hazina maslahi kama shows za ulaya unatakiwa utangaze 1 or 2month ahead watu wa majimbo mengine wajipange kwenye ratiba zao watafute hela ya kusafiri, hivo.

Ukifanya mambo kwa kukurpuka hayaendi inavotakiwa. Hata za nchini ratiba ilitakiwa imetoka kitambo sanaa.
 
Kipindi fulani alikuwa na tour aliyoipa jina cheketour baada ya kutoa nyimbo ya chekecha cheketua, shoo alikuwa anaisimamia musa hussein wa leo tena na alisema angezunguka mikoa mingi. Ila mwisho wa siku alipiga shoo moshi na arusha, sasa huwezi jua labda tatizo management, Seven au kiba mwenyewe, inasikitisha msanii kama kiba ana miezi sita hajapiga show. Ila huwezi jua safari hii kajipangaje.
 
umeongea by proffessional kabisa kama zilivyo taaluma nyingine.

BTW itakua umegoogle unless urudishe notice za watu za Public Relation and Marketing ulizotumia kuandikia huu uzi
 
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ni siku nyingine tunakutana hapa kwenye kilinge chetu cha majungu, fitina, na figisu figisu sehemu ambapo UKWELI hauna gharama na utakuweka huruuuuuuuuuu! YOU CAN HATE THE GAME BUT DONT HATE THE PLAYER. Nasisitiza hii nchi huru kabisaaa, wewe tokwa povu utokwayo ila ujue tu matusi sio mtaji useme uuze utajirike. Safisha kinywa tema sumu kama chatu.

BACK TO TOPIC!

Seven, mwanamke mwenzangu, UTU MWANAMKE! Dada wa mie mchaga mwenzangu umetoka kishumundu umekuja kutafuta mjini hapa lakini ndo hivo kikulacho ki nguoni mwako mtu wa huko huko kwenu nakuweka kikaangioni leo, mwanamke mwenzio, tobaaaaa! Kwa kujali utu mwanamke nitakupunguzia dozi hutopata dozi nayompaga Sallam.

Seven dada angu natambua juhudi zako tangu uko na kina late Amina Chifupa wa Mpakanjia. Natambua the way you worked your way up mpaka kula shavu huko Sonny na big labels zingine kama DSTV. i RESPECT AND ACKNOWLEDGE YOUR HUSTLE. Being a woman and all in this game i respect you even more. It may be years kabla ya kuwa na another woman player as tough as you. You are one of kind.

Truth be told UMEKUWA BUTUUUUUUUU! The years have worn you down, you have lost it in the game. Huna makali kabisaaaa. You no longer have the required vision, inovation nor direction na umabakia kufanya kazi kimazoea mazoea na under pressure. Tukikuchamba unatafuta kitu kikubwa kutupooza afu baaas. You get comfortable with being the old cargo that you are.

Kiba is a good artist, exceptional if i must admit, he worked against the odds na kujikakamua mpaka kaunya huo wimbo wa Aje, it could be the last hit in his career, ila unavomfuja fuja huyo Kiba na huu wimbo wake IT IS HEART BREAKING!

Imagine hata bibie NDI NDI NDI made more money from shows and appearances than Kiba! REALLY??????? Lets go factual tangu wimbo uwe release HOW MANY SHOWS KIBA KAFANYA? Kwa caliber ya huo wimbo wa Aje ungekuwa a little street smart backed up na the undying support THE LEGENDARY TEAM WEMA, ungeweza kuorganise AJE DAY CONCERT ukachukua Uwanja wa Taifa na ungejazaaaa mpaka ukafurikaaa. Ungemleta MI ndo kabisaaaa! (Ombi la kumkeep company MI bado liko pale pale msinitose) Not to mention sponsor ship za Pepsi, Coca, TBL, Serengeti, Tigo, Voda, ETC kwenye hio event mchanaa jumamosi tulivuuu.

Usingeishia hapo ungeorganise AJE VIP Night Mlimani City tiket 50,000 ukafanya kitu flani amaizing, mbona kwa ushabiki mbuzi tungetoa!!!!!! Nusu kilo kitu gani tulivokuwa na kiu Kiba arudiiiii.

Ungeorganise Country Tour ya Aje kwenye 6 major cities hapa Tz.

Ungerorganise East Africa Tour ya Aje. nchi zote 6 za mashariki na unachukua stadiums na sponsor ship za kule. Unajadiliana na hawa waliotoa vinyimbo vipya wamsindikize.

Baadae unajadili na wabeba box kama nchi 5 kuwapelekea Ali inakuwaje sasa

ALL SHOULD HAVE BEEN COORDINATED KABLA YA RELEASE AU IMEDIATELY BAADA YA RELEASE, RELEASE TAREHE FLANI, WIKI ILE ILE MMERELEASE INATOKA RATIBA KAMILI YA SHOWS ZOTE HIZI MNAANZA KUZIPROMOTE. KIBA HAKUTAKIWA AWE ANACHEZA BAO ANALOCHEZA SAHIVI ILITAKIWA AWE OVER BOOKED.

Tatizo wewe Seven na wenzio MNATUMIA MBINU ZA KIZAMANI ZA 1990S KUSUBIRI WATU WAANDAE SHOWS WAWAITE? F.U. IT IS 2016 FOR CRYING OUT LOUD. WEWE MENEJA UNATAKIWA UWE NA IDEA YA KUMPELEKA MSANII WAKO SEHEMU FLANI AUKWENYE EVENT FLANI THEN NDO UNAANZA KUTAFUTA PROMOTERS MTAKAOSHIRIKIANA. NA SPONSOR SHIP ZA MAKAMPUNI. WEWE UNATAKIWA UPELEKE KIPAPA CHAKO RWANDA, BURUNDI, KENYA KUJADILI NA MAPROMOTER WA KULE MKIMPELEKA KIBA KULE INAKUWAJEEEE?

HATA KWENYE ENDORSEMENTS SIJAONA MENEJA BONGO ANAEJUA KUSAKA ENDORSEMENTS, YALE YALE MNANGOJA MFWATE. MAKALIO YENU MMEYATULIZA MNAANGALI SIMU. HAVE YOU HEARD OF A WORD AGGRESSIVE?????? KUNAKITU KITAITWA EXPRESSION OF INTEREST (EOI) MNACHOTAKIWA KAMA MAMENEJA MUWE MMEKITUMA KWENYE KAMPUNI ZOTE KUBWA SI CHINI YA 20 HAPA BONGO MIKIPROPOSE ALLY ANAWEZA IFANYIA NINI HIO KAMPUNI KWA COST GANI. KAMPUNI IKIWA INATAKA SASA MSANII TAYARI DOCUMMENT IPO PALE IMEJITULIZA, HATA MARKETING MANAGER KUOMBEA HELA PROJECT KAMA HIO NI RAHISI COZ MSANII TAYARI KESHAONESHA NIA, NA GHARAMA ZAKE ZIKO WAZI SI ZA KUBAHATISHA MAMBO YANAENDANA NA CORPORATE CLIMATE.

Atleast Dimond anatumia Social pages zake vizuri kidogo ila ane mda mwingine ndo hivo anapiga majungu ila atleast mashetani yakikaa vizuri unakuta anapost ratiba zake which is a good thing na kitu nimeona wapopo wengi wanafanya kama PSQUARE, MY BAE DAVIDO, NA BABA GIGY ALHAJI TECHNO. Ally Kibakuli wa mie mmmmhhhh! Dont get me started about his social pages.

BOTTOM LINE IS SEVEN UMEPWAYA HAPO, UMEKOSA WHAT IT TAKES KUENDANA NA MABADILIKO YA SOKO LA MUZIKI BONGO, EITHER UONGEZEWE NGUVU, FIND NEW TALENT YA KUKUPA MAKALI KWENYE MANAGEMENT AU ACHIA NGAZI. UENDAVYO SIVOOOO KABISAAAA.

Ali kiba Beyonce kumfukuza manager wake baba yake mzazi haikuwa kazi rahisi hata kidogo ila ULIFIKIA WAKATI ALIKUWA BUTU, AKASIHA MAKALI NA KUFUKUZWA NDO ILIKUWA ONLY OPTION. Juzi Beyonce huyo huyo KATIMUA TIMUA MANAGEMENT YOOOTE mapaka ndugu zake, why? Imekuwa butuuu, inamtia umasikini tu. Na wewe Ali umri ushakukimbizaaa, ukizubaa you wont get max from your career.

NI HAYO TU.

HAYA SASA RUKSA KUTOKWA POVU.
Nimeelewa point yako ya majungu,fitina na figisu figisu, hivi Michael Jackson alikuwa anafanya show ngapi kwa mwaka?

Unawajuwa mapromota wa Kibongo huko kwa wabeba mabox? Muulize Diamond juzi alikua na show Marekani atakueleza.

By the way Seven anapaswa kupewa credit kwa BINTI kuweza kuwa manager wa Msanii wa kiume Bongo.

Strategy za Jaydee kutafuta beef kila anapotaka kufanya show kudraw pubic sympath haitamfikisha popote no old strategy.

Labda tu niulize swali dogo, Kiba kusaini mkataba na Sony Hays siyo mafanikio? Au Kiba naye aanze show kama za Twanga Pepeta Mara NNE kila wiki?

Loading........
 
umeongea by proffessional kabisa kama zilivyo taaluma nyingine.

BTW itakua umegoogle unless urudishe notice za watu za Public Relation and Marketing ulizotumia kuandikia huu uzi

Actually, ukisoma vitu anavyoviandika lara 1 with sound mind utamwelewa sana. Sema kwenye hizi issue za D na Kiba watu wamebase sana kwenye ushabiki badala ya uhalisia.
 
Yaah leo nimekuelewa, hizi point nadhani zipo katika kichwa cha msanii yeyote Duniani mwenye 'Mission' na 'Vision' katika sanaa yake. Watu wanaposema muziki ni biashara moja kwa moja wanatakiwa wawe na Kilicho zungumzwa hapa.
 
Lara kwakweli nakukubali pale unapotenda haki ingawa tunakujua kabisa wewe team range...Anway analysis nzuri.Hope 7 ataifanyia kazi.
 
Akanana tatizo siyo Management ya Alikiba bali ni Alikiba! Alikiba ni msanii asiye shaurika kabisa na ni mgumu ku manage maana mambo yake amezoea kuyaendesha ki local local sana na kujisifu kuwa hana makuu!

Swala la management tulisha sema sana tena lakini baada ya manager huyo huyo kuanza ku mmanage Lady jaydee ukweli umeanza kudhihirika.. .sidhani kama Seven angeshindwa kuandaa wazo la tour kama unavyo sema tatizo ni msanii!

Jide sasa hivi anaendelea na Tour na tunaona matokeo yake....!

Alikiba ni kichwa ngumu kabisa kazi yake ni kutoa nyimbo na kujifungia ndani ili apewe sifa kuwa hana makuu....!

Manager wa Jide ndiye Manager wa Alikiba!

Nilisha sema toka mwanzo Alikiba ni tatizo kubwa sana...
 
Sallam alishasemaga Management ya kiba haiko poa.. Hawajui kupush mambo yao, hawajui kuwa aggressive wapate wanachotaka!! Wimbo wa Mwana ungemfikisha mbali sana kiba ila wakambwela ule upepo ukapita bila kuufanyia kazi.. Pia kiba mwenyewe needs to change his attitude!!
 
Back
Top Bottom