Kajala na Quick Rocker ndani ya mahaba mazito

Mchumba

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
280
262

Mapenzi ya Kajala na Quick Rocka yamekuwepo kwa muda sasa lakini hakuna hata mmoja amewahi kukiri hadharani.

Hata hivyo penzi linaponoga, si rahisi tena kulificha. Ndio maana Quick ameamua kushare video Instagram inayomuonesha akipeana mabusu ya haja ya staa huyo wa filamu.

“How I dance HAPO na mama lao……mtoto kapiga 6kichwa mbichi kama mtoto wa shule (Tag her),” ameandika Quick kwenye video hiyo.
 
Kwanini tunawashangaa hawa watu wakati tayari wameshajipambanua kabisa kwamba wao ni WASANII?
 
Mapenzi ya Kajala na Quick Rocka yamekuwepo kwa muda sasa lakini hakuna hata mmoja amewahi kukiri hadharani.

Hata hivyo penzi linaponoga, si rahisi tena kulificha. Ndio maana Quick ameamua kushare video Instagram inayomuonesha akipeana mabusu ya haja ya staa huyo wa filamu.

“How I dance HAPO na mama lao……mtoto kapiga 6kichwa mbichi kama mtoto wa shule (Tag her),” ameandika Quick kwenye video hiyo.

wasanii na kazi yao ni usanii
 
dogo ananyonyeshwa mana nlimuacha pale PandaHill High School
Akiwa form one enzi hizo akiimba kwaya, daah kweli dudu halina umri
 
Ingekuwa WCB ingeshachorwa katuni ya Mama anamnyonyesha mwanae.
 
Mapenzi ya Kajala na Quick Rocka yamekuwepo kwa muda sasa lakini hakuna hata mmoja amewahi kukiri hadharani.

Hata hivyo penzi linaponoga, si rahisi tena kulificha. Ndio maana Quick ameamua kushare video Instagram inayomuonesha akipeana mabusu ya haja ya staa huyo wa filamu.

“How I dance HAPO na mama lao……mtoto kapiga 6kichwa mbichi kama mtoto wa shule (Tag her),” ameandika Quick kwenye video hiyo.

Ivi uyu kajala si ana mtoto wa kike mkubwa tu, sas ana mjengaje mtoto wake uyo dah aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom