Mr Nice kawa dereva wa bodaboda?

Kwani mkuu kuendesha boda boda sio kazi. si bora aendeshe boda boda kuliko kuwa omba omba.
Sio hatari ni kazi km kazi zingine.
Ila jamaa si alikuwa celebrity ana mpunga mrefu.
tujifunze tu kupitia kwake kwa mabaya na mazuri yaliyomtokea
 
Duh Bajaji zilikuwa zinamuishia mafuta now anaendesha Boda Boda !

Hata Mwisho aliuza Matikiti kwenye tenga lililobebwa na Baiskeli... = The Comedy
 
Mh...

Huyu si aliwahi kutajwa kama msanii tajiri wa East Africa enzi zake??
Kwa hiyo ndo unataka kusema jose chameleone nae atakuja kuendesha boda acha hizo bosi!Hata huyu mshikaji anaweza kurudi na kuwa kifaru mkubwa tu!Mapambano ya maisha si yanaendelea!Hakuna mbaya yeye alisongeshe hivo hivo atatoboa tu!
 
Back
Top Bottom