Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Msanii wa filamu Bongo, Baby Madaha amesema kuwa na mpenzi mwenye umri mdogo kwake haoni kama kuna faida yoyote. Wasanii wa kike wa filamu Bongo wameonekana kuanzisha style mpya kwa kuwateka...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
They came along and set the trend for other artistes, they entertained us, others inspired us plus many other marvelous things that the East African music industry shall live to celebrate. Some...
2 Reactions
13 Replies
5K Views
AMCHEKA KWA UONGEAJI WAKE WAKUUNGAUNGA KINGEREZA
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naye Wolper alipost picha akiwa na mama mkwe na kuandika: I am having the best time of my life.. Nikiwa na Mama angu… Kabla hamjatoka lazima mpige story, akuchekeshe… Mjipikilishe.. Akushauri Hapa...
3 Reactions
123 Replies
31K Views
KAMA KAWAIDA YAKE KATIKA UHODARI WA KUCHEKESHA JOTI AFANYA YAKE !
3 Reactions
10 Replies
6K Views
Mchoraji maarufu wa vibonzo na mtangazaji wa Clouds FM, Masoud Kipanya amekiri kuwa misimu miwili iliyopita ya shindano la Maisha Plus ilipoteza mvuto kutokana na kuwachanganya vijana na akina...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
MDOGO-MDOGO, DIAMOND ATABWIA UNGA PESA ina kelele mno! Ukiwa na fedha, unaweza kujitahidi kujificha lakini ikawa vigumu. Unawezaje kujificha wakati noti zimetuna kwenye waleti? Ubavu upi unao wa...
19 Reactions
83 Replies
13K Views
Toka Jay Moe arejee na ngoma yake ya Pesa ya madafu kumekuwa na upinzani mkubwa sana toka kwa mashabiki wa hiphop. Wengi wanasema anafanya muziki wa kibishoo ambao sio hiphop orijino. Ni kweli...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ujio wa wasanii wapya wa kazi ya sanaa katika UIGIZAJI na UIMBAJI, unaonekana kuwatoa na kuwasahaulisha kabisa wasanii wa zamani tuliowazoea. Wasanii kama, Ray, Johari, na wengineo katika maigizo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mchezaji wa wa mchezo wa tenisi,Maria Sharapova, amesimamishwa kushiriki katika mchezo huo kwa miaka miwili mfululizo, hatua hiyo imekuja baada ya nyota huyo kufanyiwa vipimo vya kugundua kama...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Abdul Kiba amesema yupo tayari kujiunga na lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond kama hela itawekwa mezani. Bifu la Alikiba na Diamond linaonekana kuathiri mpaka mfumo wa watu wa pembeni...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Muigizaji na mrembo mwenye vituko kibao, Faiza Ally, amesema atafurahi sana endapo atampata mtu wa kumuhonga kwa sababu hajawahi kuhongwa hata siku moja. Akizungumza kupitia kipindi cha Kubamba...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Msanii wa filamu Irene Uwoya amesema kushiriki kwake katika kampeni za siasa wakati akifanya harakati za kutaka kuingia bungeni kumempatia ujasiri mkubwa katika maisha yake. Katika uchaguzi wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
I used to think Snoop Dogg was born smoking weed. But boy, I was dead wrong. According to Snoop himself, he has never smoked any 'til the first night he met Tupac. The 2 exchanged freestyles, and...
10 Reactions
81 Replies
16K Views
Mwanamuziki Diamond Platinamuz atafanya show nchini Australia kuanzia tarehe 15 16 na 17 July katika miji ya Melbone Sydney na Peth, kiingilio kitakuwa laki tatu za bongo kwa kichwa na ticket...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
ALIKIBA ALIJIBU KWA USTADI KAMA HIVI
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwanzilishi mwenza na mtangazaji wa kipindi cha Mkasi, Salama Jabir jana alifanya mahojiano na kitua cha televisheni cha nchini Uingereza, BBC na kuelezea namna alivyoweza kujiajiri na jinsi...
1 Reactions
44 Replies
13K Views
Hawa jamaa naona hii collabo yao inaweza kuwa gumzo kwa staili waliokuja nayo, nimeona clip zao kwa kweli wanaonyesha ubunifu flani hivi wa kuvutia kiaina, huyu Katarina wa Karatu daah, ni bonge...
6 Reactions
38 Replies
8K Views
Mbunge wa jimbo la Muleba Kusini Profesa Anna Tibaijuka Tukio hilo limetokea leo majira ya asubuhi muda mfupi baada ya Profesa Tibaijuka kufungua mkutano wa Kimataifa unaohusu upatikanaji wa...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
Back
Top Bottom