Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Huko nyuma miaka kadhaa Msanii TID alimpiga Msanii mwenzie Ray C hasa baada ya Ray C kusema mubashara kuwa TID anatumia dawa za Kulevya na akamtaka aachane nayo. Kilichotokea ni kwamba TID...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nyota wa Bongo flava TID amezidi kumchana Steve Nyerere baada ya Steve kumuita mpumbavu aliyehongwa na kuandikiwa speech aliyoongea kwenye mkutano wa Makonda TID amesema Nyerere amemhatarishia...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Mmh!! Uwoya siku hizi unapenda sana kiki,yani hupitwi Katika maisha siku zote ushauri unaruhusiwa kutolewa au kupokelewa... Lakin sio lazima mtu kupokea ushauri unaotolewa... Kila mtu anauhuru...
17 Reactions
115 Replies
14K Views
Wasanii wa filamu za Kibongo, leo wameitisha mkutano na waandishi wa habari ambapo wamekanusha kuidai CCM huku wakisema kwamba wote walilipwa. Tazama video... Wasanii Bongo Movies Wampinga Wema...
7 Reactions
159 Replies
22K Views
ni hoteli aliyofanyiwa press na waandishi wa habari hoteli wanadai wanampigia ila hapokei simu, pia amesema yeye na wema wapo vizuri tena wanaweza kulala pamoja
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakati sakata la audio inayosemekana ni mazungumzo baina ya mtu anayesadikiwa kuwa steve nyerere na mama wa wema sepetu kuvuja, Video queen maarufu nchini, Anna Patrick maarufu kama Tunda amemjia...
3 Reactions
129 Replies
21K Views
go low ni bonge langoma na video yake imesimama yani ni good music aisee.tukiendelea hivi tz tutafika mbali zaidi.......keep it up guys ===========================================
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Yawezekana wengi tulikuwa tunajiuliza kwa nini Diamond Platinumz kauweka wimbo wake wa Marry You kwenye Youtube Channel mpya kabisa ya DiamondPlatnumzVEVO badala ile tuliyoizoea ambayo ipo...
6 Reactions
101 Replies
14K Views
Wanamuziki Ally Kiba na Diamond Platnumz ni miongoni wa wajumbe wa kamati ya watu 10 wa kusaidia maandalizi ya timu ya taifa ya vijana ya Tanzania 'Serengeti Boys'<Akitangaza kamati hiyo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
aada ya kufanya ziara yenye mafanikio nchini Afrika Kusini, Alikiba anatarajiwa kutua Dar es Salaam, Jumanne hii. Kiba na timu yake watatua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Huu ni mwezi mbaya kwa mchekeshaji Steve Nyerere. Ni kwasababu kauli zake zimeendelea kumponza. Hivi karibuni, kwenye mazungumzo yaliyovuja kati yake na mama yake na Wema Sepetu, alidai kuwa...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Baada ya picha kuzagaa mitandaoni kuhusu shutuma dhidi ya mwanamama kutoka Uganda, zari hassan, ambaye pia ni mpenzi wa mwanamuziki wa msanii diamond platnums, zikimfananisha mtoto huyo wa diamond...
4 Reactions
59 Replies
10K Views
Wadau weekend inaendaje!! Nilikuwa najipumzisha kwa kuchek planet bongo EATV na kuona jinsi walivyopendeza Izzo na uyo Dada wa USA. Na kwamba Izzo ameonesha kijana wa hekima sana kwa...
0 Reactions
43 Replies
13K Views
Ni muda sasa umepita huku kila mtu akiendelea kucheki haya mapenzi ya Staa wa Bongo na huju Jimama Zari. Kimsingi mimi naona kama wanatuactia tu na kiundani ni kuwa hakuna mapenzi yoyote kati yao...
3 Reactions
102 Replies
16K Views
Lile sakata la masogange kuwekwa ndani kwa shutuma za madawa ya kulevya, limeingia ukurasa mpya baada ya hivi karibuni rafiki wa masogange ambaye pia ni staa wa filamu aitwaye Irene uwoya, kumjia...
15 Reactions
207 Replies
32K Views
Msanii TID amepanga kumfikisha msanii mwenzake Steven Nyerere mahakamani akimtuhumu kumchafua kuwa amepewa hela na Makonda kwenye clip iliyosambaa mitandaoni
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Mambo, Hapa katikati kumeibuka tuzo nyingi tu kwa wasanii wetu wa nyumbani kwa mfano InstAwards, sasa hawa wasaniii wamekuwa wakiomba kura kila siku wamesahau kuwa kazi nzuri ndo inafanya upigiwe...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Yadaiwaishu ni vurugu uwanja wa taifa wakati wa kuingia
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu.. (maana humu kila mtu ni mkuu) Yule hit-maker wa Muziki, Darasa, alifanya vizuri sana na huo wimbo kiasi kwamba akapata "rate" kubwa ya viewers youtube (many viewers in a week)...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Jana kupitia channel 10 kwenye kipindi cha tutafika? mwandishi william Shao alikuwepo akichambua kitabu chake hicho,mwandishi kweli ana point za kutosha niliona mpaka Dr Lwaitama alikuwa kimya...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Back
Top Bottom