Nucky Thompson JF-Expert Member Sep 20, 2016 1,817 4,059 Feb 27, 2017 #1 Yadaiwaishu ni vurugu uwanja wa taifa wakati wa kuingia
Tajirimsomi JF-Expert Member Jan 12, 2017 4,824 5,580 Feb 27, 2017 #2 Pinda alisema wapigwe Hakuna namna
Mitha JF-Expert Member Jun 26, 2016 704 1,013 Feb 27, 2017 #3 Mhh!!! Si anajiitaga raisi huyu? Alaf apigwe tena??
Iceman 3D JF-Expert Member Sep 3, 2016 20,611 67,091 Feb 27, 2017 #4 Rais wa manzese hana ulinzi!? Maana niliona kile cheo walikuwa wana gombania kabisa na Ney, kama ni hivo basi aache u prezidaa
Rais wa manzese hana ulinzi!? Maana niliona kile cheo walikuwa wana gombania kabisa na Ney, kama ni hivo basi aache u prezidaa
Good Father JF-Expert Member Feb 28, 2014 10,319 18,525 Feb 27, 2017 #5 Umbe bhana Mbona jamaa hajapigwa
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Mar 25, 2016 10,518 13,135 Feb 27, 2017 #6 Tajirimsomi said: Pinda alisema wapigwe Hakuna namna Click to expand... Ohoooo!!!
Victor wa happy JF-Expert Member Apr 24, 2013 11,660 11,647 Feb 27, 2017 #7 Huyu ni team mnyama Au team yebo yebo