Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,805
Msanii TID amepanga kumfikisha msanii mwenzake Steven Nyerere mahakamani akimtuhumu kumchafua kuwa amepewa hela na Makonda kwenye clip iliyosambaa mitandaoni
Ndio maana Faiza fox huwa rekebisha.Jamani Kiswahili fasaha kinapotea Tanzania.